Baby Nimah
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 719
- 833
Aisee Mamiloo achana kwanza na izo ndumba tuongee mbanga serious,Iyo avatar ako apo fiade Mimi hoi ila ndoivo sijui kukufata PM(Prince Mikazo)Acha nipite ivi na 70 zangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], SUMBAWANGA WIZARD TRAINING COLLEGE, P.O.BOX 27, RUKWA.
02/02/2019
Ni chuo bora kwa mwaka 2019 kina mazingira mazuri ya kujifunzia, kuna vifaa vingi vya kumwezesha mwanafunzi ajifunze kwa vitendo.chuo kinatoa kozi zifuatazo
1.KUWANGA(mwaka1)
2.KURUSHA UNGO(miezi7)
3.KUTUNZA MISUKULE.miez5
4.KUROGA Mwaka1 Vile vile Chuo Kimetoa Mchawi Bora Kimkoa ambae Ni Huyu Anaesoma sms hii, Mlete Ndugu Yako Kwan Nafasi ni Chache. Ukipata taarifa hii mtarifu na mwingine
Imetolewa na MKUU WA SHULE mashana JR
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizo kozi ni kwa beginners au intermediate maana tukozi naona tudogo tudogo tu huto tukozi si unakamatwa mara unapoanza kuruka tu!cc😡mshanajr
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]Aisee Mamiloo achana kwanza na izo ndumba tuongee mbanga serious,Iyo avatar ako apo fiade Mimi hoi ila ndoivo sijui kukufata PM(Prince Mikazo)Acha nipite ivi na 70 zangu
Sijaelewa Mamdii izo emoji zako zinamaana gan asee?í ¾í´í ¾í´í ¾í´í ¾í´