Kuna chuo cha madini Shinyanga kinatangaza nafasi za masomo ya Utafiti wa madini ngazi ya diploma kuanzia Octoba 2012. Wahi mapema, nafasi ni chache. Chuo kinaitwa Earth Sciences Institute of Shinyanga (ESIS), kimesajiliwa na NACTE kwa namba ya usajili REG/EOS/041P.