Nafasi za masomo ya ualimu ngazi ya cheti na stashahada zimetoka

Nafasi za masomo ya ualimu ngazi ya cheti na stashahada zimetoka

nenda moe.go.tz; watakuwa na majibu
 
Bado hazijatoka, mchakato wa kuchagua wenye sifa bado unaendelea. Nakushauri uwe unatembelea website ya wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi mara kwa mara. Website ni www.moevt.go.tz
 
Back
Top Bottom