Nafasi za masomo ya ualimu ngazi ya cheti, Tumesubiri sana

edam

Member
Joined
Apr 4, 2014
Posts
15
Reaction score
1
Jamani naomba mtu mwenye taarifa na mipango mipya ya serikali juu ya nafasi za masomo ualimu cheti aniambie naona kimya kirefu, au BRO
 
Tumuombe Mungu tu kaka hata mimi nasubiri,point ya msingi kuwa mvumilivu kwani mvumilivu hula mbivu,kaka tetesi ni kwamba wiki hii wanaweza wakatoa tusubiri tu.
 
post za ualimu zaleta mawazo kiukweli, kaushen wizara itarease mda wowote hata leo hii. poleni kwa kusubir
 
Kwa taarifa nilizopata Jana poct hizo huenda zikatoka tar 15/08 au 16/08 namajina yatakuwepo kwenye gazeti la habari Leo kwani na majina ya usahili wa J la polisi yatawekwa tar 15/08 kwenye gazeti hilo yan kesho
 
ngoja tu wait...
 
duuuuuuuh ngoja tusubir ila wanatuweka hati hatixn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…