City College of Health and Allied Sciences kinawatangazia nafasi za masomo kwenye kozi za afya kwenye clinical officer na pharmaceutical Sciences katika ngazi ya cheti na diploma mwaka Wa masomo2014/2015.
Chuo kipo tandika karibu na chuo cha bandari. Chuo kimesajiliwa na NACTE kwa namba REG/HAS/139P. Nafasi za masomo ya jioni pia zipo kwa ngazi ya cheti cha mwaka mmoja kwa kozi ya famasi(Medicine Dispenser).
Kwa mawasiliano Zaidi piga 0712227773 au 0769566282
Fomu zinapatikana chuoni na kwenye tovuti ya chuo.