Nafasi za masomo

mdoesd

New Member
Joined
Jul 13, 2014
Posts
2
Reaction score
0
kwa wale wanaotaka kujiunga na masomo ya kidato cha kwanza mwaka 2015 jibu ni Oswe girls na Oswe boys zilizopo jijini mbeya maeneo ya wilaya ya mbozi. shule ni za bweni na mazingira safi ya kujisomeea. kwa maelezo piga simu namba 0756452537
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…