Nafasi za Masters za Ujasiriamali UDSM

felixmbwanji

Member
Joined
Aug 18, 2012
Posts
5
Reaction score
0
Salaam Mwana Alumni wa UDSM,

Heri ya Mwaka 2014.

Napenda kuchukua nafasi hii kukujulisha kuwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
Shule ya Biashara (UDBS) kinakaribisha maombi ya kujiunga na shahada za
uzamili za Ujasiriamali (MASTERS AND POSTGRADUATE IN ENTREPRENEURSHIP AND
ENTERPRISE DEVELOPMENT).

Nimeweka viambatanisho vya program hizi.

Karibu sana kwa kupata form na kusoma hapa UDBS.

Tunakuthamini sana.

Tafadhali tusaidie kueneza ujumbe huu.


Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia namba ya simu na anwani za hapo chini.




Salaam,

Neema Mori (PhD)
Postgraduate Office
Lecturer, Department of Finance
University of Dar es Salaam Business School
University of Dar es Salaam
P.O.Box 35046
Dar es Salaam-TANZANIA
Mob: +255 767 065698
E-mail: neema.mori@gmail.com
Website: www.udbs.udsm.ac.tz



--
Charles Kapondo
Mobile: +255718084448
Email: kapondocharles@gmail.com






--
Charles Kapondo
Mobile: +255718084448
Email: kapondocharles@gmail.co
 
Hivi ni lini mtafungua tawi lenu hapa mwanza? Natamani kusoma kozi hiyo, maana tayari nina cheti kutoka ITC Turin. Wengne tunafanya kazi zetu huku tumejiajili, ni vyema mkafikiria kuwa na kituo Mwanza ili kuturahisishia na kutolazimika kuja Dar
 
Tunashukuru sana. Lakini mpunguze kuchelewesha watu ku-graduate bana. Maana mnazinguaga sana. By the way Dr. Olomi bado yupo? Yule jamaa aisee ni mtata sijapata ona.
 
nmeingia kny hyo website ya udbs nmesoma maelezo, mbona dedline ilishapita siku nyingi tangu julai2013?
 
ada zenu bwana, duuuuuuh!!! mbona mmeshtuka tu usingizini mkaamua ziwe hivyo.
zinztisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…