Nafasi za polisi

Nafasi za polisi

Joined
Mar 1, 2013
Posts
13
Reaction score
0
Habari zenu wna jf naombeni munisaidie kama kunaanayejua kuwa nafasi za kujiunga najeshi la polisi znatka lini? Nina f4 ya 29 inafaa?
 
kwa upande wa f4 wanachukua dv 4 point 26 na 27 hadi 28 kwa wasichana.
 
Hiri ri jeshi ra porisi si watu warioferi kama wewe, nyie ndio mnakuja kuwa wezi kama hao turiowasimamisha kwa wizi wa mirioni 150, tafuta shre ukarisiti upate credit nzuri dogooo!! :crying:
 
kwa upande wa f4 wanachukua dv 4 point 26 na 27 hadi 28 kwa wasichana.

Hawaajiri amatures, wanachukua fresh from schoo na wale waliojaza fomu la chaguo la kazi hiyo! Habari ndo hiyo!
 
ka-re-sit dogo acha kwenda u-police utpigwa shaba na majambazi
 
Jeshi la Polisi haliajiri tena form Four! Wanaanzia form 6 na mwisho points 15!
 
Hiri ri jeshi ra porisi si watu warioferi kama wewe, nyie ndio mnakuja kuwa wezi kama hao turiowasimamisha kwa wizi wa mirioni 150, tafuta shre ukarisiti upate credit nzuri dogooo!! :crying:

laiti ungejua ujasiri wa mtu hauangalii elimu........NIKIWA RAIS NAPELEKA WAKULIYA NA WASHASHI TU JESHINI.....wapi mwenye PHD ya art akaweza kushika bunduki na KUUA.....ACHENI JESHI LILINDWE NA MASHUJAA NA SIO ETI NYIE MNAOJIITA WASOMI.......MIMI NI DARASA 7 ILA HK KWETU WANANIOGOPA HAO WASOMI KWA ULINZI WE ACHA MARUNGU KWA KWENDA MBELE!!!!!!!
 
laiti ungejua ujasiri wa mtu hauangalii elimu........NIKIWA RAIS NAPELEKA WyAKULIYA NA WASHASHI TU JESHINI.....wapi mwenye PHD ya art akaweza kushika bunduki na KUUA.....ACHENI JESHI LILINDWE NA MASHUJAA NA SIO ETI NYIE MNAOJIITA WASOMI.......MIMI NI DARASA 7 ILA HK KWETU WANANIOGOPA HAO WASOMI KWA ULINZI WE ACHA MARUNGU KWA KWENDA MBELE!!!!!!!
kama kijijini sawa usije mjini utaenda jela na utapata kaka wa jela usije
 
dogo uckate tamaa ww tafta au kama vp resit upate credit nzuri
 
mambo vp wana jamii forum
mambo vipi??? ivi unajua humu unaweza ukawa unaandika mambo ambayo baba na mama ako,mwalimu wako,mbunge wako ha rais wako anayaona!!!! sasa unavosema mambo vipi alafu iweje??? nenda jukwaa la utambulisho kule...
 
Back
Top Bottom