Justin justwizz
Member
- Mar 1, 2013
- 13
- 0
Habari zenu wna jf naombeni munisaidie kama kunaanayejua kuwa nafasi za kujiunga najeshi la polisi znatka lini? Nina f4 ya 29 inafaa?
kwa upande wa f4 wanachukua dv 4 point 26 na 27 hadi 28 kwa wasichana.
Hiri ri jeshi ra porisi si watu warioferi kama wewe, nyie ndio mnakuja kuwa wezi kama hao turiowasimamisha kwa wizi wa mirioni 150, tafuta shre ukarisiti upate credit nzuri dogooo!! :crying:
kama kijijini sawa usije mjini utaenda jela na utapata kaka wa jela usijelaiti ungejua ujasiri wa mtu hauangalii elimu........NIKIWA RAIS NAPELEKA WyAKULIYA NA WASHASHI TU JESHINI.....wapi mwenye PHD ya art akaweza kushika bunduki na KUUA.....ACHENI JESHI LILINDWE NA MASHUJAA NA SIO ETI NYIE MNAOJIITA WASOMI.......MIMI NI DARASA 7 ILA HK KWETU WANANIOGOPA HAO WASOMI KWA ULINZI WE ACHA MARUNGU KWA KWENDA MBELE!!!!!!!
Habari zenu wna jf naombeni munisaidie kama kunaanayejua kuwa nafasi za kujiunga najeshi la polisi znatka lini? Nina f4 ya 29 inafaa?
mambo vipi??? ivi unajua humu unaweza ukawa unaandika mambo ambayo baba na mama ako,mwalimu wako,mbunge wako ha rais wako anayaona!!!! sasa unavosema mambo vipi alafu iweje??? nenda jukwaa la utambulisho kule...mambo vp wana jamii forum