nafasi za scholarships

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
8,261
Reaction score
9,733
kuna watu walikuwa wanauliza kuhusu wapi wanaweza pata scholarships. Nami nikaahadi kuwa ntawaletea page yenye scholarships mbalimbali zikiwemo ambazo ni mahususi kwa tanzania. Kutokana na ufinyu wa muda nimeweka baadhi lakini muda utakavyozidi kwenda ntapost nyingine zaidi na maelezo zaidi. Kuona hizo scholarshipi bonyeza www.scholarshipshare.webs.com
 
Ungeliweka jukwaa la elimu.
 
duh kazi huna mtu utakaka uendelee kusoma?
studying it does not mean to be employed by some body,that studying is to get skills which can help you to do some things but in case you get employed is fine but dont depend on being employed rather to employed yourself.
 
Exellent keep it up mkuu una majibu mazuri sana
studying it does not mean to be employed by some body,that studying is to get skills which can help you to do some things but in case you get employed is fine but dont depend on being employed rather to employed yourself.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…