Impactinglife
Member
- Apr 15, 2019
- 41
- 99
Urgent call: Wanahitajika walimu wawili mmoja wa somo la KEMIA NA BAIOLOJIA na mwingine HISTORIA NA JOGRAFIA.
NGAZI YA ELIMU: Awe na shahada ya Ualimu.
VIGEZO: Mwalimu mahili na mbobevu kwenye SoMo lake na mwenye uzoefu WA kutosha kufundisha KIDATO CHA KWANZA HADI CHA SITA.
MAHALI: MBEYA MJINI JIFUNZENI HIGH SCHOOL.
SIKU YA INTERVIEW : JUMAMOSI TAREHE 6 MWEZI WA 7 2024
MSHAHARA: SCALE YA SERIKALI
MAWASILIANO: 0655087675