Natangaza nafasi za ualimu katika shule ya Queens' Academy iliyopo Ukonga Sitakishari. Shule hii kwa miaka miwili mfululizo imepasisha watoto wote na imepewa cheti cha ushindi. Wale wenye uwezo na uzoefu wa kufundisha na pia wale wenye watoto tuwasiliane kupitia namba 0719 604156. " In the Course of Pursuing Exellence We Lead"