Nafasi za UDHAMINI WA MASOMO

Nafasi za UDHAMINI WA MASOMO

Mkoroshokigoli

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
14,593
Reaction score
5,581
Uongozi wa shule ya Alfarouq Islamic Seminary ya Tabata Bima Dar es Salaam,unatangaza nafasi za udhamini wa masomo ya kidato cha kwanza 2014,kwa wanafunzi wa KIUME waliomaliza darasa la saba mwaka 2013 NA KUPATA WASTANI WA GRADE A NA B.
UTARATIBU WA KUFUATA NI HUU
>kuja kuchukua form ya kujiunga na masomo,shuleni (Alfarouq)Tabata Bima,ni lazima kuja na nakala ya matokeo ya mtoto husika kwenye mtandao wa intanet na kuwa tayari kufanya mtihani wa Usaili(interview) tarehe 14/12/2013 shuleni alfarouq Islamic Seminary-Tabata.
Fursa itatolewa kwa wanafunz watakaofaulu VIZURI usaili na udhamini utatolewa kwa wanafunz wa Kutwa(Day scholr),mwanafunz atakayedhaminiwa na akataka kukaa BWENI,atapaswa kujigharamikia gharama za bweni,
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba
0717176262,0712164208
 
Back
Top Bottom