Chee4
Member
- May 17, 2021
- 35
- 125
Baada ya taarifa rasmi ya Uteuzi wa MADC kutoka hadharani kumekuwa na miluzi mingi kutoka kwa wanaharakati wa mitandaoni, CHADEMA na UVCCM wenyewe.
Something is wrong somewhere, hivi ni nani aliyewahi kusema nafasi za MADC ni za UVCCM? Ni nani aliyewaambia CHADEMA sisi wanajumuiya Ultimate success kwetu ni kuteuliwa kuwa Wakuu wa Wilaya? Kwanini sio Ubunge, Uwaziri, Urais au hata nafasi nyingine nje ya Siasa?
Tunaposema UVCCM ni Taasisi ya kulea viongozi wa leo na kesho, isitafsiriwe kama Taasisi ya kuandaa Wakuu wa Wilaya au viongozi wa kuteuliwa peke yake, tunahitaji UVCCM itupe Viongozi wakubwa wa Mashirika ya Umma, Asasi za Kiraia na Mashirika binafsi, sio Ukuu wa Wilaya peke yake.
Ndani ya CCM kama ilivyo CHADEMA na ACT hakuna Wanachama wa Daraja la kwanza wala daraja la pili, wote ni WanaCCM, Lowasa alihamia CHADEMA akapewa nafasi ya kugombea Urais, Sumaye, Nyalandu na wengine wakawa viongozi wa Kamati kuu ya CHADEMA na wakagombea Ubunge.
Pale ACT kwa Zitto alienda Membe akawa top leader ndani ya wiki moja, Kule Zanzibar Maalim Seif alitoka CUF akapewa nafasi ya kugombea Urais moja kwa moja, Tuseme wote waliokuwa CHADEMA na ACT hawakuwa na uwezo wa kugombea nafasi hizo? Hadi WanaCCM ndio wakawa tegemeo la vyama hivyo?
Tujiulize, Kuna Mwanachama wetu wa CCM aliyotoka CHADEMA au ACT ambaye kwa sasa ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM? Au kuna aliyetoka Upinzani akapata nafasi ya kugombea Urais CCM? Tueleweshane hapo. Tunaposema CCM ni chama Makini, TUNAMAANISHA. Lazima upikwe uive ndio upate nafasi.
CHADEMA na Wanaharakati wote wajingawajinga msitupotezee muda, pambaneni na ajenda yenu ya kuhalalisha USHOGA kupitia Katiba Mpya, mambo ya uteuzi yaacheni kwa Rais, Mimi kama Mwanajumuiya, hata Pambalu angeteuliwa kuwa DC kwangu sio tatizo as long as atatekeleza Ilani ya CCM kwa wivu mkubwa.
Tuache siasa za kijinga, Nafasi za Ukuu wa Wilaya sio mali ya waliokulia UVCCM, ni mali ya wanachama wote wa CCM including Watanzania wengine kupitia makundi mbalimbali wanaotosha katika nafasi hizo. Na bado 2025 tutawapa mwingine wa kugombea Urais.
Kama ni uhaba wa viongozi upo huko vyama vya upinzani zaidi, Ndio maana CCM inawapaga viongozi wa kugombea nafasi za juu. Huku kwetu kinachofanyika ni inclusivity tu.
#CCMMbeleKwaMbele