Bodi ya taifa ya shindano la kimataifa la Miss Utalii Tanzania,inahitaji mawakala wa kuanda na kusimamia fainali za Miss Utalii Tanzania kanda za:
Kusini (Ruvuma,Lindi,Mtwara)
Nyanda za Juu Kusini (Njombe,Mbeya,Rukwa.,Iringa,Songwe)
Kati (Dodoma,Singida,Morogoro)
Magharibi (Tabora,Katavi,Kigoma).
Mashariki (Unguja,Pemba),
Ukanda wa Pwani ya Swahili (Dar es Salaam,Pwani,Tanga).
Kaskazini (Kilimanjalo,Manyara,Arusha)
Kanda ya Ziwa Mwanza,Mara,Kagera,Simiyu,Geita,Shinyanga).
SIFA ZA MWOMBAJI:
Bachelor Degree, kujisajili BASATA,Kuwa na ofisi ya kudumu ,kampuni,asasi au mtu binafsi.
MAOMBI YATUMWE:
presidentmisstourism@yahoo.co.uk
MWISHO KUPOKEA MAOMBI NI:30-7-2019