Nafasi zilizobakia ni chache..!!!

ysm.WISEMAN

Member
Joined
Aug 28, 2013
Posts
79
Reaction score
34
NIMATUMAIN YANGU WANAJAMII WOTE NI WAZIMA WA AFYA NJEMA.
Ama baada ya salamu, dhumuni la kuja jukwaani ni kuwaarifu wale wanaotarajia kujiunga na chuo cha IFM na vyuo jirani kwamba Nafasi za hostel kwa wanaohitaji zinapatikana....!!!
FACT; gharama utakayolipa itajumuisha vifuatavyo....!!!
1. Godoro na kitanda,
2. umeme na maji(generator lipo)
3. usafi
4. chumbani kina feni(panga boy) Meza ya kusomea na viti viwili...!!!
5. Usalama upo....!!!

gharama ni 500,000/= shillings kwa mwaka mzima wa masomo.

OFFER KWA WATAKAO WAHI KUCHUKUA NAFAC.

Mawasiliano; 0755068200
0718170000
TUSHIRIKIANE KWA PAMOJA KUINUA SECTA YA ELIMU TANZANIA....!!!
 
how can i trust u?

si uende ukaangalie,wabongo kazi yao kubisha na kukosoa..ndio ufanye follow up mwenyewe au unatakaje wewe?.cha kuuliza hapo ipo wapi na nikihitaji kuona kuna utaratibu gani?security nk
 
how can i trust u?

Ahsante kwa Swali zuri ndugu yangu....!!!
in this world great thinkers they do trust non. I my self I can't force you to trust me.
But labda ungenifahamu ili kukuondoa wasiwasi.
kama unafahamiana na yeyote aliyesoma A-level St. Matthew's secondary school(2011/2013) basi Tumia namba zangu hizo nadhani ndiyo itakuwa njia rahisi ya kukuondoa wazima wasiwasi.....!!!
Shukrani sana na Ubarikiwe.....!!!
 
si uende ukaangalie,wabongo kazi yao kubisha na kukosoa..ndio ufanye follow up mwenyewe au unatakaje wewe?.cha kuuliza hapo ipo wapi na nikihitaji kuona kuna utaratibu gani?security nk

Big up bro n thanks for your kindness...!!!
 
hivi zile hostel ambazo vibaka walikuwa wakiingia na kuibia madenti si za type hii?? Ulinzi muhimu jamani msijejutia
 
Big up bro n thanks for your kindness...!!!

usijal wng..kumbe na wewe wa mtembei,nilikuwepo pale nimeondoka 2009..but naikubali sana..jembe langu mr mbaruku bado yupo,?alikua mkali wangu wa physics yule
 
usijal wng..kumbe na wewe wa mtembei,nilikuwepo pale nimeondoka 2009..but naikubali sana..jembe langu mr mbaruku bado yupo,?alikua mkali wangu wa physics yule

Aaah Mr. Mbaruku yupo bali this week yuko DUBAI amekwenda kuchukua gari....!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…