Nafazi za Kazi (International)- Concern Worldwide

hao jamaa yaani wametoa kazi ktk nchi zenye shida kisiasa ama wahanga! mmmmh
 
Wakuu, nilikuwa bush ambako mitandao ni shida. Ninashuku kwa kuendelea kunikumbusha wajibu wangu. Ninashukuru vile vile kwa nafsi hizi.
 
Tubusu, oh sorry THUBUTU, huko aende nani si bora nkalime na mazao yangu yakauke kuliko kwenda huko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…