Nafazi za kazi tulawaka


jamani naombeni muwe makini na hawa watu wanaobandika ovyo matangazo ya kazi mitaani. kwa uzoefu wangu hiyo kazi sio kweli. watu wengi wa kahama wanadanganya watu na kuwalia fedha zao. utaratibu ni kwamba kama kweli wangetaka kazi zote huwa jamaa wanafuata utaratibu na kutangaza kwenye magazeti na mitandao. Miezi michache iliyopitwa wamekamatwa watu wengi wanaolia watu fedha kwa jina la BARRICK.

be careful, kuhusu security officers 90% huchukuliwa kutoka JKT na huwa wanafanyiwa interview huko huko kambini.
 


nikwamb siwalazimishi kuamini wala kutuma anaeamini atume na asie amini kimpango wake, kuhusu hela hivi kama mtu unaakili timamau utaombwaje hela na mtu haumjui eti akupe kazi na unatuma kwel si ujinga huo kuweni makini ndugu zangu badala ya kufikiri mnakuja kulaumiana hapa kwa taarifa yenu hizi kazi ni kwel na asieamin kivyake niwadanganye nawataka nn mimi
 

Kama hizi kazi ni za kweli una uhakika gani?

Mbona ukiulizwa maswali unakwepa et we sio mhusika? Huo uhakika umeupata wapi ikiwa si mhusika?
 
huyu jamaa ni mwizi hatari.,.hii namba naichukua naipeleka voda 2ifanyie uchunguzi nafkir hii ni mara ya tatu sasa huyu jamaa analeta michongo hii ya kutapeli wa2...hakuna kazi ya maana hasa ya mgod ambayo hr. Anaanika namba yake ki hasara kiasi hicho huyu jamaa ni tapeli hatari sasa hili suala hatuwezi kuliacha lipite hivi hivi...ndugu zangu humu wa2 2po crious wa2 wengine wanaleta utapeli haiwezekani...
 
Na wamejipanga kweli maana ukiongea naye huyo dada anaonekana kama m2 mwenye hekima sana na mbinu wanazo2mia ni za saikolojia ya hali ya juu sana inayoweza kumfanya m2 aamini wanachoongea.

By da way kumfuatilia voda yaweza kuwa vigumu sana kwani hajasajiliwa, labda kwa kutrace history ya marafiki aliowasiliana nao kabla ya kuanza kutoa haya matangazo ya kazi.

Ila akae mkao wa pingu kwani si muda atakamatwa, maana uchunguzi unaendelea.
 
Aksante sana mtu wangu, watu wengi tunakosa fursa kwa kukosa taarifa.
 

ndo raha ya kukaa na magreat thinker huu ni wizi wa hali ya juu wahusika jiangalieni koz mgodi ka tulawaka una official website mi hii post ya mwezi wa nne nilipiga simu sema nikagundua ni matapeli
 
ndo raha ya kukaa na magreat thinker huu ni wizi wa hali ya juu wahusika jiangalieni koz mgodi ka tulawaka una official website mi hii post ya mwezi wa nne nilipiga simu sema nikagundua ni matapeli

Hongera kama ulishtuka mapema, maana wangekutoa upepo bure.
 
Ni sehemu ipi ya Kahama kuna haya matangazo? Niko Kahama mjini hapa mtaa wa Majengo@Mussa John
 
Ni sehemu ipi ya Kahama kuna haya matangazo? Niko Kahama mjini hapa mtaa wa Majengo@Mussa John

Hawawezi kukujibu kwa sasa, wameshajua kuwa tumeshtukia dili lao kwa hiyo wamekimbia.
Ila huyo dada ajue si muda mrefu atakamatwa.
 
applydar@barrick.com Hakunaga email ya hivi kwa kampuni mkuu huu ni utapeli kwa kifupi umeingia choo cha kike JF mkuu.

Hii kitu haiexist hata kidogo
 
Wana-jamii sory kwa kuchomekae aka ka kitu apa. Ni swala la ufahamu nimeulizwa na na jamaa katika harakati zake za kusaka ajira kwenye kampuni za mawasiliano:
"Je, unaweza kufahamu hizi kampuni zinalipa kiasi gani kwa nafasi ya AREA SALES MANAGER, aU MA-sales SUPERVISORS...?"
 
Naona wadau wenye uelewa wa hayo makampuni ya mawasiliano hawajaliona 2subir watakwambia.
 
Musa John, Neema Pita, mko wapi?

Hawa jamaa inaonekana walikuwa wanajifunza utapeli.
Baada ya kujua kuwa dili limesanuka na wanatafutwa wameogopa na wameamua kufunga namba zao zote wakihofia kukamatwa.
Dawa yenu bado iko jikoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…