Nafazi za kufundisha Dar es salaam

Moghati

Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
88
Reaction score
7
Wana jf niaje...napenda kuwatangazia wale wenye uwezo wa hali ya juu kufundisha masomo ya history, english and mathematics...nina center yangu pale banana ukonga ina madarasa 6 mnaweza kuja pale...karibuni xana wakuu 2we wajasiliamali. naomba kutoa hoja..
 

advance o'levo
 
graduated from udsm napoa gomz niko tayari tupige kazi my numberz 0657115587 au 0757079055
 

wasiliana nami kwa 0718064602 nafundisha english
 
uwe na uwezo wa kufundisha advace na o'level....changamkieni nafasi hyo wakuu...eneo liko poa xana...nahitaji watu ambao wanaji2ma...[/QU naweza kupata nafasi ya history graduate udom.my number.0713790277
 

Cente ina maana gani? tuition center au center ya kufanyia mitihani ya sekondari, center ya kusomesha wanafunzi inayoweza kuitwa shule - imesajiliwa au ndio kubia wazazi fedha na kulostisha wanafunzi?
 
Ningewashauri mnaotoa number zenu mpitie PM kwa muhusika. Sidhani kama kutoa number in public ni vizuri sana kwa privacy zenu. Ni ushauri tu.

Otherwise mtoa mada amenifurahisha yuko so realistic na kuna wengi wenye shida za ajira watasaidika wakati wanafikiri cha kufanya.
 
Moghati hongera kwa wazo lako, ila kwa ushauri tu kidogo, unapoandika lugha zako hizo kwa vifupi vifupi sijui ni ujana au muda wa kuandika hautoshi au UVIVU TU? Onesha basi seriousness kwa kuwa a bit more professional kiongozi, unawapa watu mashaka kwa kiasi fulani kama hiyo center unayomiliki ni makini au kijiwe.

Mawazo yangu tu lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…