MAUBIG
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,039
- 855
TANGAZO
Nafasi za masomo kwa mwaka 2014
MSAKAMALI INSTITUTE OF BUSINESS STUDIES AND TECHNOLOGY
(MIBST)
Nafasi za masomo kwa mwaka 2014
Chuo kinatangaza nafasi za masomo ya uhasibu, maendeleo ya jamii na utawala wa biashara ngazi ya cheti,
mafunzo hayo yataanza tarehe 5/01/2013
Sifa za mwombaji
Amehitimu kidato cha nne na kufaulu si chini ya masomo manne yaani (pass "D" 4) katika masomo aliyosoma
au
Awe amemaliza chuo cha ufundi ambacho kimesajiliwa na veta na kutunukiwa cheti ngazi ya tatu-
(NATIONAL VOCATIONAL AWARD LEVEL 3-NVA 3)
USAJILI: CHUO KIMESAJILIWA NA NACTE (NA REG/BMG049P)
CHUO KIPO MSATA WILAYA YA BAGAMOYO, PWANI
MAZINGIRA YA MASOMO NI MAZURI NA TULIVU
MAZINGIRA YA MASOMO NI MAZURI NA TULIVU
Mwisho wa kurudisha form ni tarehe 20/12/2013
kwa mawasiliano zaidi piga simu
na: (+255) 0719 336 310