Pre GE2025 Nafikiri CCM wamefanikiwa. Swali Ni upinzani umefeli wapi?

Pre GE2025 Nafikiri CCM wamefanikiwa. Swali Ni upinzani umefeli wapi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
12,112
Reaction score
15,060
Sasa hivi CCM inazungumzwa kila mahali kwenye mitandao, mashambani, maofisini na hata kwenye mikutano ya wapinzani wenyewe wanaizungumza CCM.

KATIKA hili wacha tukipongeze kitengo cha propaganda.

Sio kwamba mtaani hakuna njaa, Ila Kuna namna hakuna jinsi Tena.

Sasa sijui kimetokea Nini.!? Kumbuka ktk siasa hata kuzungumziwa hata kwa mabaya kunakuweka mainstream.
CHADEMA mko wapi!?

Hakuna namna Tena. Mama mi5 Tena.
 
Nani anaizungumzia CCM ?. Habari ni Haniyeh kutunguliwa akiwa ndani ya Iran.
 
Chadema hii ambayo ilikubali maridhiano au kuna nyingine
 
Sasa hivi CCM inazungumzwa kila mahali.. kwenye mitandao..mashambani..maofisini na hata kwenye mikutano ya wapinzani wenyewe wanaizungumza CCM.

KATIKA hili wacha tukipongeze kitengo Cha propaganda.

Sio kwamba mtaani hakuna njaa, Ila Kuna namna hakuna jinsi Tena.

Sasa sijui kimetokea Nini.!? Kumbuka ktk siasa hata kuzungumziwa hata kwa mabaya kunakuweka mainstream.
CHADEMA mko wapi!?

Hakuna namna Tena. Mama mi5 Tena.
Mbona Chadema unalitaka kila siku au unajisahaulisha. Na si muda mrefu utaitaja tena
 
Chadema hii ambayo ilikubali maridhiano au kuna nyingine
Maridhiano ni dhambi? Au unataka vita ndo ufurahi? Maridhiano ni mhimu ila inatokana unaridhiana kwenye nini na je maridhiano yanafuatwa na pande zote 2?
 
Sasa hivi CCM inazungumzwa kila mahali kwenye mitandao, mashambani, maofisini na hata kwenye mikutano ya wapinzani wenyewe wanaizungumza CCM.

KATIKA hili wacha tukipongeze kitengo cha propaganda.

Sio kwamba mtaani hakuna njaa, Ila Kuna namna hakuna jinsi Tena.

Sasa sijui kimetokea Nini.!? Kumbuka ktk siasa hata kuzungumziwa hata kwa mabaya kunakuweka mainstream.
CHADEMA mko wapi!?

Hakuna namna Tena. Mama mi5 Tena.
Shetani anazungumzwa mara nyingi zaidi kuliko hata Yesu au Muhammad, huyo naye amefanikiwa?
 
Chadema itajadiliwa sana hivi karibuni, maana Ina mpango wa kumsajili Samia.
 
Baki kwenye ukale wako...wa _ Chadema chama cha wachaga_: Katavi imebidi sterling akajaribu kufuta nyayo mwenyewe.
 
Back
Top Bottom