Nafikiri hawa ndo wasanii bora wa muda wote Bongo fleva hadi sasa

kombaME

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
2,115
Reaction score
2,818
Hawategemei kiki yoyote zaidi ya uwezo wao, ni ngumu kuwachukia maana wana uwezo na hata ukiwachukia utajikuta unaumia na utashindwa kusema kwanini unawachukia.

1.Prof. Jay

2.Mr.Blue
 
Namba 1, alibadili uimbaji alipobadili jina na akabaki hivyo mpaka uheshimiwa ulipomkuta.

Namba 2, sidhani kama amefikia rekodi yake mwenyewe wakati anaanza kuimba tangu aamue sijui ndo ku-rap au kuimba ngumu hata sielewi.

Zaidi, ni bora unge-kategoraizi ubora wao kuliko ku-jenerolaizi.

Mpaka sasa, wenyewe hawajui HIP HOP ni nini, RnB ni nini n.k, wanaishia kukwambia, fulani anaimba Bongofleva na fulani anafanya Hip hop.
 
Umewasahau soggy dog 'hunter' huku mamaa ni mnoma na dully sykes wa gerezani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…