Nafikiri kuna haja ya kuongeza emoji walau mbili zaidi kwenye Jamii Forum threads, tuweke emoji Thanks, Nzuri, Kicheko, Mshangao, Masikitiko, Dislike?

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Kuna kitu kinakosekana wakati mwingine unataka kusema Yes au No, lakini hazipo. Je JF waongeze emoji zipi zaidi ya zilizop?

Mods kichwa cha habari kiwe:

Nafikiri kuna haja ya kuongeza emoji walau mbili zaidi kwenye Jamii Forum threads, tuweke emoji gani zaidi ya Thanks, Nzuri, Kicheko, Mshangao, Masikitiko, Dislike?​

 
๐Ÿ™๐Ÿ˜‹๐Ÿ™†๐Ÿคญ๐Ÿ˜Ž ziongezwee hzi mkuu
 
Na hizi ๐Ÿ‘๐Ÿ˜›๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜ญ๐Ÿคฎ๐Ÿค‘๐Ÿ’ฏ๐Ÿซ‚๐Ÿค—โœ…โŒ๐Ÿ“›โ€ผ๏ธโ‰๏ธโ“
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ