KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Habarini watu..?
Moja kwa moja niende kwenye mada husika ni kuwa ombi au hoja yangu ni kutaka kutumika wataalum wa saikolojia ktk uandaaji wa filamu.. masoko ambayo haswa nimeyalenga ni haya ya kwetu zaidi,namaanisha bongo muvi na wengine ambao hawatumii wataalum hawa.
Kwanini watumike wataalum Hawa wa saikolojia..?
Hii ni baada ya kuona mapungufu kadhaa ya kuakti uhalisia zaidi..Kama tujuavyo sanaa ya kuigiza ni Sanaa ya kuleta ujumbe au kuburudisha ktk jamii,na ktk kuigiza muigizaji yampasa aigize uhalisia wa asilimia 99 ili kazi yake ipate mashiko zaidi na iwe ya kuvutia zaidi.
Mbali na stori ya muvi Kuwa nzuri au waigizaji kuwa wazuri n.k lakini pia itafaa zaidi Kuwa na hisia halisi ktk kuigiza huko.
saikolojia ni somo kuhusu tabia ambapo moja kwa moja hapa tunaona uhusiano na uigizaji.. muigizaji huigiza vile vinavyopatikana ktk jamii yake au nje ya jamii yake.. na humo Kuna tabia,Kuna mazingira,Kuna hisia n.k hivi vyote vikisimamiwa kiustaha basi tunaweza kupata kitu kizuri na uhalisia wa uigizaji uliotukuka!.
hoja yangu kuu ni kutaka waigizaji waigize kwa kufuata misisimko ya kihisia au kitabia kutokana na kile kinachotakiwa kuonekana inavyopaswa.. mfano nimeshaona baadhi ya maigizo waigizaji hawakuwa sahihi kimuonekano na kile anachokiigiza! Hapa namaanisha lugha mwili ( body language) kwa waliopitia kidogo saikolojia wanaweza nielewa.. unawezakuta muigizaji anaigiza scene ya Kuwa na hasira lkn mwili wake au lugha mwili yake haibebi picha halisi ya hisia hizo! Mapozi na vitendo anavyotenda haviendani na kile anachokiigiza! Haya ni makosa makubwa sana!.
Unakuta muigizaji anapaswa aigize akiwa na hasira,ndio atapaniki na kupaza sauti lkn ukimcheki body language yake inaonyesha kurelax!.. vitu Kama mtu yupo kwenye panic then kaweka pozi la ku cross mikono hii huonyesha Kuwa mtu yupo kwenye defense! Anajilinda ama na hoja anazoletewa n.k lkn utakuta mwengine kaweka hilo pozi Kama ndio kapaniki!!! That's is fake na haileti taswira nzuri na uhalisia!.
Mtu yupo kwenye huzuni lkn body language yake unakuta inaonyesha furaha au ukawaida ama namna yoyote na isiyostahili kuonekana hivyo!
Mambo ni mengi lkn wahusika watakuwa wamenielewa.
Ushauri wangu ni kuomba pia wanasaikolojia wahusishwe pindi muvi hizi zikiandaliwa ili wawashauli waigizaji waigize lugha mwili zipi ili kuteka uhalisia zaidi na kufanya muvi husika kuleta mvuto zaidi..
Sometimes binafsi baadhi ya waigizaji huwa nawaona kabisa wapo attention na kamera kushinda anachoigiza! Hii hunifanya Kuwa Kama namuangalia na kamera man! Kupitia body language anayoionyesha muigizaji..😅 Hichi kitu hunikera na kunipoteza munkari sana..
So please naomba wataalum Hawa wahusishwe. Ushauri wangu mdogo ni huo.