Nafikiri serikali ije na mpango mkakati kwa kutengeneza ajira mpya

Nafikiri serikali ije na mpango mkakati kwa kutengeneza ajira mpya

Mparee2

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
3,092
Reaction score
5,386
Pamoja na kuwa Mama sio muongeaji sana ila Ukweli ipo miradi mingi inayoendelea kwa sasa na mingine mingi inaenda kimya kimya (inatia moyo)
Hata hivyo kutokana na janga kubwa la ajira; Nafikiri ipo haja ya serikali kuja na mpango mkakati wa kutengeneza ajira mpya kwa wingi kwani huku mtaani hali sio shwari...

Mfano: mimi sijasoma uchumi ila nafikiri tunaweza kutolewa unafuu mzuri wa kodi kwa Mashirika yanayo zalisha/ajiri angalau wafanyakazi wasio pungua mfano 150 mf: kama wataweza kutoa framework kuonesha wakipunguziwa kodi kwa kama 30% wanaweza kutengeneza ajira za kudumu walau 25% to 50% ndani ya miaka 2 hadi tatu hivi nafikiri ingetusaidia sana. (wakizalisha sana na kuajiri, hiyo kodi italipwa tu kwa trickle down effect) na uchumi utakuwa

2. Nafikiri pia tukusanye takwimu za magari ya toyota yaliyopo Nchini kwa haraka ili iwashawishi TOYOTA walete kiwanda hapa hata cha kutengenza spare...naamini tunaongoza kwa kuwa na magari mengi ya TOYOTA tusisubiri waje kufanya utafiti wenyewe, tunapoteza fursa. Tukipata Toyota wengine watafuata.
nknk
 
Kwa hii baridi Wala siogi
FB_IMG_1658118807071.jpg
 
Ukweli pamoja na kuwa mama sio muongeaji sana ila kwa miradi mingi inayofanyika kwa sasa unaweza ukaona Value for money; nasema vitu vingi vinafanyika kimya kimya.
Hata hivyo kutokana na janga kubwa la ajira; Nafikiri ipo haja ya serikali kuja na mpango mkakati kwa kutengeneza ajira mpya kwa wingi kwani huku mtaani hali sio shwari...

Mfano: mimi sijasoma uchumi ila nafikiri tunaweza kutolewa unafuu mzuri wa kodi kwa Mashirika yanayo zalisha/ajiri angalau wafanyakazi wasio pungua mfano 150 mf: kama wataweza kutoa framework kuonesha wakipunguziwa kodi kwa kama 30% wanaweza kutengeneza ajira za kudumu walau 25% to 50% ndani ya miaka 2 hadi tatu hivi nafikiri ingetusaidia sana. (wakizalisha sana na kuajiri, hiyo kodi italipwa tu kwa trickle down effect) na uchumi utakuwa

2. Huwa najiuliza
Hivi wale vijana wanaomaliza pale SUA wa kilimo na mifugo (wale wanaopenda seriously) hatujafikiri kuwatumia hata kwa vikundi vya watano au kumi kumi; kufanya kilimo/mifugo darasa kwa yale maeneo yanayo zalisha sana kwa kuwapa pengine 50m kwa kikundi na wazirudishe wapewe wengine?

3. Nafikiri pia tukusanye takwimu za magari ya toyota yaliyopo Nchini kwa haraka ili iwashawishi TOYOTA walete kiwanda hapa hata cha kutengenza spare...naamini tunaongoza kwa kuwa na magari mengi ya TOYOTA tusisubiri waje kufanya utafiti wenyewe, tunapoteza fursa. Tukipata Toyota wengine watafuata.
nknk
Nchi inasikitisha Sana hii
 
Back
Top Bottom