Nafikiri

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Nafikiri japo inaweza kuwa kweli kuwa rate ya bikira kwa wanaume ineweza kuwa kubwa kuliko wanawake. Na wanaume waminifu ktk ndoa zao ni wengi kuliko wanawake walio waminifu ktk ndoa zao. Sorry for women.
 
Teh teh teh, naona wanawake imewatouch sana, watakushambulia mda siyo mrefu
 
Its possible.. unajua kwenye probability kuna matatu hapo either ni kweli; sio kweli au wote wapo draw...

Ila thinking again labda ukiangalia nani anawahi kupevuka btn wanawake na wanaume.., alafu ukachukua kwamba kwenye young age labda wanawake ndio wanaanza mapenzi mapema maybe you can build a case... (sijui lakini a thought like this has never crossed my mind)
 
hii nayo thread! siku izi hata feisbuk inaaanza kuwa na hadhi kulinganisha na JF-MMU!
 
kasema anafikiri tu sasa mbona maswali mengi? source wakati mtu keshakwambia anafikiria tu?
 
Ni kweli kabisa maana mjini mapedesjshee wamezidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…