Jitihada gani mmefanya mpaka sasaHabari za muda humu ndani,nawaza kuachana na wife niliyekaa nae kwenye mahusiano miaka 5 kwa maana miaka mitatu tumeishi pamoja.
Sababu iliyofanya kufikiria maamuzi haya ni kukosa mtoto mpaka leo,sasa nafikiria kuanza maisha mapya tu.Naombeni ushauri wenu juu hili.
Ni vema ukapita Hospital muone nini shida na kama mnaweza kutibiwa na mkapata mtotoHabari za muda humu ndani,nawaza kuachana na wife niliyekaa nae kwenye mahusiano miaka 5 kwa maana miaka mitatu tumeishi pamoja.
Sababu iliyofanya kufikiria maamuzi haya ni kukosa mtoto mpaka leo,sasa nafikiria kuanza maisha mapya tu.Naombeni ushauri wenu juu hili.
nimelipa mahali ila ndoa hatujafungaJe mlifunga ndoa ama mnaishi ya sogea tukae?
Je ulimuoa kwa mahari na baraka za wazazi wa pande zote mbili ama mlibebana from kitaa?
Je anafahamika kwenu nawewe unafahamika nyumbani kwao?
Je nini lilikua lengo la kuamua kuishi pamoja?
Basi tatizo sio mtoto, minaona kama ushamchoka tunimelipa mahali ila ndoa hatujafunga
Umepima?Habari za muda humu ndani,nawaza kuachana na wife niliyekaa nae kwenye mahusiano miaka 5 kwa maana miaka mitatu tumeishi pamoja.
Sababu iliyofanya kufikiria maamuzi haya ni kukosa mtoto mpaka leo,sasa nafikiria kuanza maisha mapya tu.Naombeni ushauri wenu juu hili.
Inasikitisha sanaa🫤🙌Umemlomba miaka mitano umeacha bonge la upenyo, afu innocent boy wa watu huko anakwenda kulaumiwa hamkojoleshi