Nafikiria kuachana na mke wangu

Baada ya kukosa mtoto ulifuatilia na kujua tatizo ni nini?mlikwenda kwa wataalamu ili kujua kinachosababisha ni nini?vipi kama ukimuacha wakati kumbe tatizo liko upande wako unadhani itakuwa ni suluhisho kumuacha?
 
Hao wachina wanapatikana wapi mkuu?pia naomba contacts zao kama hutojali kuna ndugu yangu ana tatizo kama hilo
 
Mtoto alifanyaje
 
Haya! Ila mambo ya mke na mume yafaa muyamalize ninyi wawili
 
Brother comment yako imeelezea vitu ambavyo ndio uhalisia wa maisha ya wanawake wa kileo uhususani hawa modern women walioenda enda shule.

Nina uhakika kwa asilimia 70% mke wa huyu jamaa mleta mada ana sifa ulizoelezea hapo na ndio zilizopelekea yeye kuwa na changamoto ya uzazi.

Na mara nyingi wanawake hawa huwa wanaangukia kwa nice guys ambao wanataka kuoa wanawake wanaojiweza kiuchumi hili wasaidizane nao maisha.

Kosa la huyu jamaa lilianzia amavamu kwenye uchaguzi wake wa mwanamke.
 
Sawa. Na ukienda kupima DNA uje useme
Mtoto alifanyaje
Stori ndefu ndugu yangu
 
Mkiambiwa wee tia mimba kabla ya kuoa...oh hapana dini hairuhusu lakini kutomber mnatombaner 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Kwamba comments zako zooote hizi ukitoa experiences za watu wako wa karibu sijui shoga zako mara kaka yako.. lengo ni kutaka jamaa ajihisi yeye ndio mwenye tatizo?

Anyway mimi nasema tu kwa lifestyle ya vijana wa sasa hivi ni ubwege kuoa/kuolewa bila kujiridhisha kuwa mkeo/mumeo ana uwezo wa kubeba/kutungisha mimba.
 
Wanaume wapo wengi wana matatizo ya uzazi, ila kwa vile mwanamke ndo mbeba mimba basi inaonekana mwanamke ndo mwenye matatizo. Na huwa anaumizwa sana na jamii yake hasa mume na ndugu wa mume kumbe mwanaume ndo anatoa povu la komoa unaijua hii sabuni lakini?
 
Wewe umelileta humu hlf likaliwe kimya. Itakua wewe ndio una shida na unajua hilo. Jitibie chap maana ngoma itakua haiamki utasingizia umerogwa
kwenda
 
Kwa hiyo kwa unavyoamini wewe huyu mleta mada ndio atakuwa ana tatizo sio?? Kwa sababu tu wanaume wengi wana matatizo ila hawaongelewi?
 
Mkiambiwa wee tia mimba kabla ya kuoa...oh hapana dini hairuhusu lakini kutomber mnatombaner 🀣🀣🀣🀣🀣
Hawa sissy men huwa wanajiingiza kwenye sintofahamu nzito kama hii kisa tu wanafuata mafundisho ya dini ilihali dunia ya kisasa na wanawake wa kisasa hawafuati kabisa muongozo wa dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…