princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,686
- 19,365
Umejaribu kujua chanzo tatizo? Hatua gani umechukua?Habari za muda humu ndani,nawaza kuachana na wife niliyekaa nae kwenye mahusiano miaka 5 kwa maana miaka mitatu tumeishi pamoja.
Sababu iliyofanya kufikiria maamuzi haya ni kukosa mtoto mpaka leo,sasa nafikiria kuanza maisha mapya tu.Naombeni ushauri wenu juu hili.
Labda wewe mbegu zako hazioti?? nendeni kwa bingwa mpimwe fertility wote wailiHabari za muda humu ndani,nawaza kuachana na wife niliyekaa nae kwenye mahusiano miaka 5 kwa maana miaka mitatu tumeishi pamoja.
Sababu iliyofanya kufikiria maamuzi haya ni kukosa mtoto mpaka leo,sasa nafikiria kuanza maisha mapya tu.Naombeni ushauri wenu juu hili.
Tafuta wa majaribio kwanza
huzuni sana!Mke umekaa zako sasa hivi unawaza leo usiku nimpikie nini mume wangu, mwenzako anawaza kukuacha "moyo wa mtu kichaka"
na most inakuwaga hivyokama mkipima ukaonekana unamatatizo halafu yeye akakuacha utajisikiaje?
Na usikute anawaza kukuacha hupati mimba kumbe ye ndo anatoa upepo 🙄Mke umekaa zako sasa hivi unawaza leo usiku nimpikie nini mume wangu, mwenzako anawaza kukuacha "moyo wa mtu kichaka"
Hormone zimefanyaje?? 🤔 🤔tumeshapita changamoto ni hormone
Ni yupi alikuwa na shida kati ya me au ke,??? Maana ulivyo andika ni mix by yasMmeshajua shida ni nini? Piteni kwa wataalam mnaweza kupata solution,pia kuna Dr yupo pale Kairuki alimsaidia jamaa yangu,mkewe amejifungua last week.Pia nina Kaka yangu wa hiyari amezunguka mpaka India hakufanikiwa lakini amepata watoto watatu ndani ya miaka mitano ila wote wanazaliwa na miezi saba maana ikivuka hapo kiumbe kinakufa,kuna Dr yupo na clinic yake pale Buyuni njia ya kwenda Chanika,kama utahitaji mawasiliano yao nitakupa, ni rahisi kuchukua kwa hawa jamaa zangu.
Binafsi nakushauri usimwache kwasababu hiyo utampa shemeji psychological torture ya hali ya juu sana.Fanya jitihada ili mjue shida ni nini, kama hakuna solutions then mtafanya mutual agreement 🙏
Itakufedhehesha hii. Mara anatoka tu afu anapata mimba. Utaonekana wewe ni boya. Nakushauri Fuatilia hospital wote mpime mjue shida ni nini. Yawezekana ikawa shida kwako. Nakushauri usifanye hivyo. Utafedheheka hata huko utakako enda kama shida ni wewe itakuumiza na utapata msongo wa mawazo. Nakushauri tulia hata Ukiweza ukafanye IVF siku hizi maisha yamekuwa mazuri sanaHabari za muda humu ndani,nawaza kuachana na wife niliyekaa nae kwenye mahusiano miaka 5 kwa maana miaka mitatu tumeishi pamoja.
Sababu iliyofanya kufikiria maamuzi haya ni kukosa mtoto mpaka leo,sasa nafikiria kuanza maisha mapya tu.Naombeni ushauri wenu juu hili.
Wanaume Ni wabinafsi Sana!Na usikute anawaza kukuacha hupati mimba kumbe ye ndo anatoa upepo 🙄