DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Hakika Ila kuhusu ubinafsi that's human nature na ubinafsi sio jambo baya nadhani kupitia ushauri huu jamaa ataboresha wazo lake.Wanawake wengi Ni wavumilivu na wasiri Sana,achana na mashankupe,kuna uwezekano mkubwa mkewe akamvumilia!
Haswaaa, hawajui unaweza kuwa una sex ila manii hazina uwezo wa kutungisha mimba.Hapana hili nakupinga
Wanaume wengi wakishaona anasimamia shoo vizuri basi anajua anaweza kuzalisha!!
UNGEJUA! laiti ungejua.Ubinafsi sio kitu kibaya .
Ukiona mwanamke hazai ujue 90% shida IPO kwa mwanamke kwakuwa lazima Huyo mwanamke ameshajaribu Sana nje
Hawaelewi hilo,huwa wanashtuka kumekucha,kashamuacha mwanamke Kwa dharau halafu bidada huko kakutana na kijamaa kinapiga kimoko chali na mimba juu🤓🤓🤓🤓🤓Haswaaa, hawajui unaweza kuwa una sex ila manii hazina uwezo
unajuaje kuwa tatizo ni la mkeoHabari za muda humu ndani,nawaza kuachana na wife niliyekaa nae kwenye mahusiano miaka 5 kwa maana miaka mitatu tumeishi pamoja.
Sababu iliyofanya kufikiria maamuzi haya ni kukosa mtoto mpaka leo,sasa nafikiria kuanza maisha mapya tu.Naombeni ushauri wenu juu hili.
Niharibie Mkuu tu hiyo weekend.UNGEJUA! laiti ungejua.
ENEWei ACHA NISIKUHARIBIE weekend ?
Hakuna dawa ya kichina either unataka kumpiga au mkeo kapewa mimba na MTU mwingineUsimuache kaka,mimi nimepita changamoto hiyo for 6 years tangu tufunge ndoa lakini tunamshukuru Mungu mke wangu ni mjamzito.kuna dawa za kichina alitumia mke wangu baada ya kuhangaika kwa gynecologists mbalimbali Tz bila mafanikio.Ndani ya mwezi mmoja tu baada ya kutumia akapata ujauzito.So usimuache endelea kutafuta suluhisho utaona ushindi wenye raha mbeleni.
Ameshaona wazuri kumzidi mchumba wake hamtaki tena, wanaume sjui wakoje[emoji34]Basi tatizo sio mtoto, minaona kama ushamchoka tu
So Wewe ni spermdonor?Niharibie Mkuu tu hiyo weekend.
Wanawake wengi ambao hawashiki mimba shida inakuwa kwao maana mwanamke akiona hapati Mimba anaenda jaribu nje.
So Mimi mwenyewe nimechapa Sana wanawake wanaotafuta mimba
Ahaaa Mkuu.Ameshaona wazuri kumzidi mchumba wake hamtaki tena, wanaume sjui wakoje[emoji34]
kama swala ni mtoto usijaribu.Habari za muda humu ndani,nawaza kuachana na wife niliyekaa nae kwenye mahusiano miaka 5 kwa maana miaka mitatu tumeishi pamoja.
Sababu iliyofanya kufikiria maamuzi haya ni kukosa mtoto mpaka leo,sasa nafikiria kuanza maisha mapya tu.Naombeni ushauri wenu juu hili.
Hapana Ila lilikuwa tag ubavu na Kama unavyojua sisi wanaume tukiwa katika moja na mbili .So Wewe ni spermdonor?
kama ni ya kikatoliki ndoa kama hii haipo na haijawahi kuwepo inavinjwa fasta kwakuwa kigezo hakikuwa upendo bali mtotoHabari za muda humu ndani,nawaza kuachana na wife niliyekaa nae kwenye mahusiano miaka 5 kwa maana miaka mitatu tumeishi pamoja.
Sababu iliyofanya kufikiria maamuzi haya ni kukosa mtoto mpaka leo,sasa nafikiria kuanza maisha mapya tu.Naombeni ushauri wenu juu hili.
Ukute wewe ndo mwenye shida mkuu. Mmekwisha waona wataalam na kufanya vipimoHabari za muda humu ndani,nawaza kuachana na wife niliyekaa nae kwenye mahusiano miaka 5 kwa maana miaka mitatu tumeishi pamoja.
Sababu iliyofanya kufikiria maamuzi haya ni kukosa mtoto mpaka leo,sasa nafikiria kuanza maisha mapya tu.Naombeni ushauri wenu juu hili.
sawaNiharibie Mkuu tu hiyo weekend.
Wanawake wengi ambao hawashiki mimba shida inakuwa kwao maana mwanamke akiona hapati Mimba anaenda jaribu nje.
So Mimi mwenyewe nimechapa Sana wanawake wanaotafuta mimba
Unaelewa hiki ulichoandika?kama ni ya kikatoliki ndoa kama hii haipo na haijawahi kuwepo inavinjwa fasta kwakuwa kigezo hakikuwa upendo bali mtoto