Nafikiria kuachana na mke wangu

mkuu mpaka nakuna hapa hizo taste za sperm nimefanya asee..usikariri
 
Kwahiyo mkeo anaenda kuwa pisi mpya kwa mshikaji mwingine?
 
Ebu nenda kapige need miezi mitatu mfurulizo ukipata mtoto nje usimuache mkeo tafuta suruhisho mkeo azae usipopata mtoto nje wewe ndio tatizo kubali kulea damu siyo yako kitamda hakizai haramu
Tumeshafanya vipimo sio swala naongea nisichokijua
 
nimepokea ushauri wako
 
Sasa unaachana nae umejua tatizo lipo wapi lipo kwako au kwake? Je Umefanya vipimo vyovyote
 
Huoni hata aibu kusema unajikiria kiachana na mke wako!! Kaeni mzungumze, maana hakuna mkamilifu chini ya jua.
 
Piga nje cup,ukipata mtoto.mlete home,acha dharau mkuu huenda damu haziendani na wewe je umehawahi kutest mitambo.
 
Hoja laini sana homoni sio ishu bn we sema kuna mengne lakin utaki kusema
 
Katika mahusiano ya ndoa au ya kuishi pamoja, mtoto ni zawadi — siyo haki ya moja kwa moja wala kipimo cha thamani ya mke/mume. Mara nyingi jamii humlaumu mwanamke, lakini kimatibabu sababu za kutopata mtoto zinaweza kuwa kwa mwanaume, mwanamke au wote wawili.

Je, mmewahi kupima wote wawili kwa madaktari bingwa wa uzazi (fertility specialists)?
 

Don't dare to do that!!!!!

Kamwe usijaribu kufanya hivyo.

utajiweka kwenye mazingira ya kujuta milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…