Nadhani kwa wana CHIT-CHAT mliopo hapa dar hii itakua poa sana.
Napanga siku niandae chakula cha usiku, vinywaji pamoja na muziki wana chitchat wote mje tujumuike kama marafiki .
Mnaonaje wazo langu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana
Safi sana barakaNtakuwa hapo kuanzia asubuhi kukusaidia maandalizi ya kupanga vitu na kwenda kununua vinywaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Neno zuri kutoka kwa mdogo wetu wa mwisho hapa JF![emoji16][emoji16][emoji16]Good idea
Pangeni siku mjumuike pamoja
Haitapoa,wewe andaa uwaalike
Neno zuri kutoka kwa mdogo wetu wa mwisho hapa JF![emoji16][emoji16][emoji16]
Ndiyo, wewe apoMdogo wenu wa mwisho?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
PoaWe toa code number tangaza bar watu wakifika kaunta wanachukua beer kwa kutumia code ,watakuja kukushukuru humu
It is never too late to begin. Start now
HEbu pita makaburi ya kunduchi mida hii uone kama idea yako ni nzuri kipindi hikiSent using Jamii Forums mobile app