My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,592
- 11,810
We toa code number tangaza bar watu wakifika kaunta wanachukua beer kwa kutumia code ,watakuja kukushukuru humu
It is never too late to begin. Start now
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]hapana sio nzuri
Si ntawatonya na wanangu
Mkienda bia zimeisha, Labda asiweke limit ya idadi za bia
Makaburi ya kunduchi yapo upande gani pale?HEbu pita makaburi ya kunduchi mida hii uone kama idea yako ni nzuri kipindi hiki