Nafikiria kubadilisha career..

hello,me naomba list ya career za science and art ambazo zina soko kuabwa nje na ndani ya tz.thaks
 
Soko la degree ya kiswahili ni kubwa ndani na nje kuliko hilo la uandishi wa habari.Soko la uandishi wa habari limefurika ndani na nje kupata ni kazi hasa by the time unamaliza utajikuta huna kazi utaanza kutukana serikali kuwa wasomi haiwapi ajira!

hata soko ya uandishi wa habari ni kubwa hasa za michezo, maana huko wamejaa vilaza wakina maulidi kitenge na sifuri zao za al haramain, komaa ukaijenge tasnia ya habari. over
 
hata soko ya uandishi wa habari ni kubwa hasa za michezo, maana huko wamejaa vilaza wakina maulidi kitenge na sifuri zao za al haramain, komaa ukaijenge tasnia ya habari. over

Uandishi unaweza usihitaji cheti kisafi sana. Delivery ndo inahusika...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…