Nafikiria kuelekea nchini Malawi kwa ajili ya kuangalia Fursa mbalimbali za kibiashara

Malawi ni moja ya nchi maskini, usishangae kuona mtu anaenda BMW X6 halafu anaishi kwenye nyumba ya nyasi.

Mji wa kibiashara ni Blantyre, pesa yako ni kwacha ambayo 6000 ya Malawi ni sawa na buku jero ya Tanzania kama sikosei.

hakikisha unakuwa na pass zote coz kule baada ya Km. chache kuna polisi check.

Totozi za kule ni hovyo ni bora za chato.

Shopping kubwa kama za nguo hasa wakati wa sikukuu wanafanya Kyela.

Usishangae kuona V8, Beenz, BMW, N.K zinamilikiwa na mtu wa kawaida ambae anaishi kwenye kijumba kama cha chato.

MWISHO Ukimwi unaua mkuu

UCHAWI NI NJE NJE hata wa nchini kwetu CHATO hauoni ndani.

wekeza biashara ya nguo inalipa
 
Sawa mkuu nimekuelewa vizuri
 
Sawa mkuu nimekuelewa vizuri


6000 YA MALAWI SAWA NA TSH 20,000

6000 MWK = 20,000TSH
 

Malawi sio pazuri kwa kwenda kuanzisha biashara ila ni pazuri kwa kupeleka mali na kugeuka,polis wao ni kama wa msumbij wanapenda rushwa na wanyanyasaj pia raia ao wana roho mbaya kwa wageni yaani kuua mgeni ni kawaida
 
malawi ni nchi ya kishamba sana wengi wao wapo kyela wanafanya kazi za uhouse boy kwa mshahara kiduchu.
 
Chuzi tumekutana na wamalawi Tanzania chaka moja wamekuja kuvuruga Bei sio poa.wanasema kwao njaa kali MNO wamekuja kuchukua mchele na kupeleka kwao.
Fanya bznes ya mchele kwenda kwao na mahindi.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…