pascal luoga
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 238
- 271
hii ya polisi mbn ndo naisikia kutoka kwako..yan polisi wasumbue kuhusu nn hasa??
na hivo vibali unavosema ww ni vya kutoka
WAnasema kwamba ni kama biashara haramu hivyo wanakuja nia yao uwape rushwahii ya polisi mbn ndo naisikia kutoka kwako..yan polisi wasumbue kuhusu nn hasa??
na hivo vibali unavosema ww ni vya kutoka wp? tra au polisi
Sawa kaka shukran🙏🙏1. WAZAZI
a. usiruhusu wanafunzi(wakiwa na sare) kuingia kwenye PS.
b. usiruhusu watoto chini ya miaka 13 kuingia PS hasa jumatatu hadi ijumaa.
2. POLISI & MGAMBO
a. uwe na kibali cha utamaduni na michezo.
b. fungua ofisi kuanzia saa4-6
c. jenga mahusiano mazuri na serikali ya mtaa, wakiwa marafiki zako utafurahia biashara ya PS.
3. WIZI WA VIFAA & UHARIBIFU
Hapa ni umakini wako, weka mtu unaemwamini au simamia mwenyewe. Pad huwa zinaibiwa sana.
Vibali vya biashara kutoka kwa viongozi wa mtaahii ya polisi ndo naisikia kwako..
ni vibali gani hasa vinahitajika?
Fungua biashara ya nafaka maisha saiv hayahitaji janja janja ply station weka geto kwako litakuburudisha OVERHabari zenu wakuuu.
Nimepata pesa kiasi kadhaa ila nafikiria kufungua biashara ya play station. Ila huwa nafuatiliaga sana mitandaonj kuna vitu huwa naviona vinanikatisha tamaa kuanza hii biashara.
1.Naonaga watu wanalalamika sana kwamba ni ugomvi na kin mama kuhusu watoto wao
2.kushtakiwa serikali za mitaa
3.POLISI hawakauki
Hizo point tatu huwa zinanikatisha sanaa tamaa na hii biashara hasa hii point ya tatu (3) POLISI
-Maana sehem ambayo nahitaji kufungua ni barabarani na nataka niipromote vya kutosha hiyo office ila naona kama nitasumbuliwa sana na hao Askari, maana watu wanasema hata uwe na vibali ila hawakauki kujaofisini na kwa hiv nampango wa kufungua maeneo ya barabaran naona kama nitajitangaza kwa hao Askari.
Je kwa ambao wamewai kufanya hii biashara mnanishauri kitu gani hapo? Pia naweza kuvishinda hivi vitu kwa kufanya nini??
Msaada wenu wakuu🙏🙏
FAida umeshakula kabla hata gunia halijaisha😅😅😅😅Fungua biashara ya nafaka maisha saiv hayahitaji janja janja ply station weka geto kwako litakuburudisha OVER
Kila la kheri kwake
vipi umeshafungua mkuuHabari zenu wakuuu. Nimepata pesa kiasi kadhaa ila nafikiria kufungua biashara ya play station. Ila huwa nafuatiliaga sana mitandaonj kuna vitu huwa naviona vinanikatisha tamaa kuanza hii biashara. 1.Naonaga watu wanalalamika sana kwamba ni ugomvi na kin mama kuhusu watoto wao 2.kushtakiwa serikali za mitaa 3.POLISI hawakauki Hizo point tatu huwa zinanikatisha sanaa tamaa na hii biashara hasa hii point ya tatu (3) POLISI -Maana sehem ambayo nahitaji kufungua ni barabarani na nataka niipromote vya kutosha hiyo office ila naona kama nitasumbuliwa sana na hao Askari, maana watu wanasema hata uwe na vibali ila hawakauki kujaofisini na kwa hiv nampango wa kufungua maeneo ya barabaran naona kama nitajitangaza kwa hao Askari. Je kwa ambao wamewai kufanya hii biashara mnanishauri kitu gani hapo? Pia naweza kuvishinda hivi vitu kwa kufanya nini?? Msaada wenu wakuu🙏🙏
Nicheki 0786482744Nikukodishie Ps4 yangu ipo ndani tu inapigwa vumbi