Nafikiria kununua gari, Toyota Nadia, ebu naombeni ushauri juu ya aina hii ya gari. Binafsi nalipenda kwa sababu ya gharama yake kuwa ndogo maksio ya milioni 7,ikiwa nitaagiza kutoka japani.
Changamoto za hii aina ya magari ni ipi? binafsi nipo mkoani, na gari hili litatumika tu kwa ajiri ya safari za kazini,na kwa mara chache kusafiri mikoani!
Nawakilisha, ushauri
Itunze hiyo engine ya D4 lazima itakua humo.
Hongera ata kwa hiyo mkuu ila ungechukua wish ndio ya kisasa kidogo kwa hiyo nadia japo wishi ni ndefu kama nyoka.
Nadia nzuri
Itunze hiyo engine ya D4 lazima itakua humo.
Hongera ata kwa hiyo mkuu ila ungechukua wish ndio ya kisasa kidogo kwa hiyo nadia japo wishi ni ndefu kama nyoka.
Nadia nzuri