VentureCapitalist
JF-Expert Member
- Mar 12, 2018
- 403
- 545
Kupenya ni ngumu mkuu,makampuni makubwa yanayotengeneza sigara na kulipa kodi zinazotegemewa na baadhi ya nchi kuendesha uchumi wake, zikijua zitakutoa sokoni kwa speed ya mwanga...Nimekaa nikawaza nchi Kama marekani ugoro unauzwa supermarket lakini huku watu wananua kwa kujificha utazani kwamba ni kitu haramu.Hatua ya kupackage ugoro kwenye small can tins ika create ajira na kuingiziwa kipato kwa nchi.
Mi hata wakinitoa kwa kunipa hela sio mbaya.Hii business inalipa sana.Zao la tumbaku ' nicotia tabacum ' ni addictive sana.ni Kama sigara wavutaji hununua Mara kwa Mara.Tz hili zao tunazalisha kwa wingi.Kupenya ni ngumu mkuu,makampuni makubwa yanayotengeneza sigara na kulipa kodi zinazotegemewa na baadhi ya nchi kuendesha uchumi wake,zikijua zitakutoa sokoni kwa speed ya mwanga...
Mkuu, lazima upate leseni maalum toka TFDA maana ugoro nao umo katika makundi ya madawa ya kulevya..na yana addiction mbaya mno, vinginevyo utajikuta mikononi mwa pirato.Nimekaa nikawaza nchi Kama marekani ugoro unauzwa supermarket lakini huku watu wananua kwa kujificha utazani kwamba ni kitu haramu. Hatua ya kupackage ugoro kwenye small can tins ika create ajira na kuingiziwa kipato kwa nchi.