Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
Habari!
Hivi, kwa teknolojia ilipofikia kwa sasa, je, akitengenezwa roboti halafu ukachukuliwa ubongo wa mtu aliyefariki ukaunganishwa na viungo vya mwili vya roboti?
Je, hawezi kuwaza, kufikiri, na kutenda kila kitu kwa usahihi kama mtu ambaye awali alishakufa? Yaani, akarudi na uwezo, akili zilezile na ujuzi uleule. Ila, uwezo na nguvu akapata kupitia njia nyingine ya nishati, si kwa kula chakula, bali kwa njia nyingine, mfano umeme.
'Fikra za njaa'