Nguvu inaweza kupataikana. Hapo umeme lazma uhusike.Utakuwa unaendeshwa na nguvu gani?
Sayani iliyopo,dakika to masaa kadha baada ya mtu kufariki "cells" za ubongo hufa kabisa na kukosa uwezo wake wa utendaji kazi,kabla ya moyo kufa,ubongo ndio huanzaHabari!
Hivi, kwa teknolojia ilipofikia kwa sasa, je, akitengenezwa roboti halafu ukachukuliwa ubongo wa mtu aliyefariki ukaunganishwa na viungo vya mwili vya roboti?
Je, hawezi kuwaza, kufikiri, na kutenda kila kitu kwa usahihi kama mtu ambaye awali alishakufa? Yaani, akarudi na uwezo, akili zilezile na ujuzi uleule. Ila, uwezo na nguvu akapata kupitia njia nyingine ya nishati, si kwa kula chakula, bali kwa njia nyingine, mfano umeme.
'Fikra za njaa'
Hapo sizungumzii uuaji nazungmzia mfano ww umekufa tu tunakuingiza maamabara. Tunatoa ubongo wako tunauweka kwenye kichwa cha mwili mwingine artificial(robot)nafikiri inawezekana lkn bado ni ngumu mno kwasasa!.. by the way ni swala la uuaji hilo ni lazima uchukuliwe ubongo wa mtu alie hai maana kwa tafsiri ya kufa kwenye ubongo ni kitu chengine kufanikiwa kuuamsha ubongo wa aliekwisha kufa inaweza ikaleta tafrani sana maana seli kibao za ubongo zitakuwa zishakufa!..
ndo nipo nawaza hiyo mishipa watakavyoiunga na hayo machuma na maplastic...!
mkuu tule kwanza ugali..🤣
"mfano ww umekufa tu"Hapo sizungumzii uuaji nazungmzia mfano ww umekufa tu tunakuingiza maamabara. Tunatoa ubongo wako tunauweka kwenye kichwa cha mwili mwingine artificial(robot)
Then unarudi kuendelea kutuvuruga huku jf.
Basi hata kama si ubongo. Basi tukopy akili yako kama ilivyo tuhamishie kwa roboti.
Kama kwenye the 100 season 7 walikuwa wana tunza kumbu kumbu kwenye hard drive. Huenda siku za mbeleni ikawa ni kitu cha kawaida, kama mtu wa miaka ya 1800s ukimwambia sifa za smartphone atakuona ni mtu wa fantasyHapo sizungumzii uuaji nazungmzia mfano ww umekufa tu tunakuingiza maamabara. Tunatoa ubongo wako tunauweka kwenye kichwa cha mwili mwingine artificial(robot)
Then unarudi kuendelea kutuvuruga huku jf.
Basi hata kama si ubongo. Basi tukopy akili yako kama ilivyo tuhamishie kwa roboti.
Nimeangalia picha,then nikasoma comment yako🙌Inawezekana. Ila najiuliza UUME UTAKUWA WA CHUMA?