Mzee mkapa kasepa kabla dhahama haijamkuta.Viwanja vyote vya mipira tunavirudisha serikali, majengo yote yaliyomilikishwa chamani yanarudi serikalini, sheria zote kandamizi zinatupiliwa mbali, katiba mpya na tume mpya kipaumbele cha kwanza, wahalifu wote wa awamu za nyuma mahakamani, wasiojulikana tunawanywa supu, itakuwa ni zaidi ya kushinda Biko ya milion300!
Dogo huu mwaka Ni tofauti upepo umegeukaHaiwezi kutokea!
Cdm ni hivi hamuwezi kishinda uchaguzi huu kama mlindwa 2015 Lindi mlipoungana mnajidanyana . Tuwaambie tu ukweli Tanzania kuongozwa na upinzani bado sana!Amini amini nakwambia, Hii ndo itakuwa hali ya hapo November 2020 wakati wa utangazaji wa matokeo ya uchaguzi!
Historia kubwa sana inaenda kuandikwa mwaka huu Tanzania. Dunia itashangaa, Africa Itashangaa na itakuwa furaha Kuu Tanzania!
Kwa wagombea Aina ya Salum Mwalimu na Lissu ndo waende ikulu Hawa? Hiyo labda wakapange ikulu kwa baba mkwe wao Kama walivyofanya pale ufipa.Amini amini nakwambia, Hii ndo itakuwa hali ya hapo November 2020 wakati wa utangazaji wa matokeo ya uchaguzi!
Historia kubwa sana inaenda kuandikwa mwaka huu Tanzania. Dunia itashangaa, Africa Itashangaa na itakuwa furaha Kuu Tanzania!
Kwa wagombea Aina ya Salum Mwalimu na Lissu ndo waende ikulu Hawa? Hiyo labda wakapange ikulu kwa baba mkwe wao Kama walivyofanya pale ufipa.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Mwanaccm mwenzangu HAKUNA LISILOWEZEKANI. TUJIANDAEHaiwezi kutokea!
Makosa makubwa sana kumpagisha mtu nyumba kwa muda mrefu siku ukitaka kumtoa anaweza kukupiga ngumi anafikiri nyumba yake hata Lissu tunampa mkataba wa miaka mitano tu itategemea tukipendezewa na yeye akikubali tunaweza kumuongezea mitano mingine sio lazima ccm ikulu sio mali ya lumumba acha ushambaKwa wagombea Aina ya Salum Mwalimu na Lissu ndo waende ikulu Hawa? Hiyo labda wakapange ikulu kwa baba mkwe wao Kama walivyofanya pale ufipa.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
NEVER UNDERESTIMATE YOUR OPPONENTKwa wagombea Aina ya Salum Mwalimu na Lissu ndo waende ikulu Hawa? Hiyo labda wakapange ikulu kwa baba mkwe wao Kama walivyofanya pale ufipa.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app