Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Nimejaribu kuelezea changamoto wanayopitia watu wengi hiyo ni lugha ya kifasihiNenda hata kituo cha polisi chochote kilichokaribu na wewe ,utakayemkuta counter mwambie nimekuja kuwasalimia .
Ni hapo unaweza kupiga nao story mbili tatu hata kuwauliza wanapata muda wa kulala na hali ya uchumi wanaionaje kwa miaka hii ,hakika leo siku yako itakuwa amazing kiasi chake mkuu wangu
Kama upo karibu na Pwani na pesa sio shida zako njoo Bagamoyo.Sema miji ya Tanzania hovyo sana
Sasa hivi umekaa zako unataka uende sehemu urefresh akili
Option inayokuja ni kwenda bar zama hizi swala la kutembeleana halipo tena kama miaka ya 2000 mwanzoni na kurudi nyuma
Miji yetu haina open space ambazo kwenye nyakati za weekends kunaweza kukawa na band zinapiga na nyingine inafanyika michezo mbalimbali mfano wa theme park
Tanzania hakuna Night-life kabisa ni either uende bar au Lodge ukafanye michezo ya kikubwa in short hakuna sehemu ya mtu kutoa stress mbaya zaidi watanzania wanaishi kwenye chumba kimoja au viwili au vitatu
Hatuna theme park kwenye miji yetu, hatuna arena kubwa na ndogo kwa ajili ya events mbalimbali
Kwa wale watu hawanywi pombe na waislamu wanapataga wakati mgumu sana
Wakati wa sikuku unakuta watoto wako kwenye daraja la buguruni au manzeshe huwaga nawaonea huruma sana hawana pa kwenda
Mfano dar kuna pori la magwepande lingetengenezwa vizuri watu wawe wanaenda kupoteza stress na kuwe na space ya kuchoma
Hatuna arena kubwa na ndogo kwa ajili ya matamasha mbalimbali kuna miji mingine ikifika weekend kuna mambo mengi sana ya kukuondolea stress
Hawa watoto wa sahivi ndo watakuja kuwa na msongo mkubwa sana wa mawazo, depression na kujiua
Usitegemee liveable cities kutoka low quality society.
🤣Nenda hata kituo cha polisi chochote kilichokaribu na wewe ,utakayemkuta counter mwambie nimekuja kuwasalimia .
Ni hapo unaweza kupiga nao story mbili tatu hata kuwauliza wanapata muda wa kulala na hali ya uchumi wanaionaje kwa miaka hii ,hakika leo siku yako itakuwa amazing kiasi chake mkuu wangu
😄Nenda hata kituo cha polisi chochote kilichokaribu na wewe ,utakayemkuta counter mwambie nimekuja kuwasalimia .
Ni hapo unaweza kupiga nao story mbili tatu hata kuwauliza wanapata muda wa kulala na hali ya uchumi wanaionaje kwa miaka hii ,hakika leo siku yako itakuwa amazing kiasi chake mkuu wangu
Maeneo ya wazi yote yamechukuliwa ,hakuna sehemu ukatayo weza kwenda ukatuliaNimejaribu kuelezea changamoto wanayopitia watu wengi hiyo ni lugha ya kifasihi
Arusha ina sehemu kadhaa za kutulia ukiondoa bar
Ngasere, meru camp, duluti, kilimanjaro golf, blue heron, Arusha coffee lodgeKama wap madam?
Asilimia kubwa sio public spaceNgasere, meru camp, duluti, kilimanjaro golf, blue heron, Arusha coffee lodge
Upo MADIBILA au?Sema miji ya Tanzania hovyo sana
Sasa hivi umekaa zako unataka uende sehemu urefresh akili
Option inayokuja ni kwenda bar zama hizi swala la kutembeleana halipo tena kama miaka ya 2000 mwanzoni na kurudi nyuma
Miji yetu haina open space ambazo kwenye nyakati za weekends kunaweza kukawa na band zinapiga na nyingine inafanyika michezo mbalimbali mfano wa theme park
Tanzania hakuna Night-life kabisa ni either uende bar au Lodge ukafanye michezo ya kikubwa in short hakuna sehemu ya mtu kutoa stress mbaya zaidi watanzania wanaishi kwenye chumba kimoja au viwili au vitatu
Hatuna theme park kwenye miji yetu, hatuna arena kubwa na ndogo kwa ajili ya events mbalimbali
Kwa wale watu hawanywi pombe na waislamu wanapataga wakati mgumu sana
Wakati wa sikuku unakuta watoto wako kwenye daraja la buguruni au manzeshe huwaga nawaonea huruma sana hawana pa kwenda
Mfano dar kuna pori la magwepande lingetengenezwa vizuri watu wawe wanaenda kupoteza stress na kuwe na space ya kuchoma
Hatuna arena kubwa na ndogo kwa ajili ya matamasha mbalimbali kuna miji mingine ikifika weekend kuna mambo mengi sana ya kukuondolea stress
Hawa watoto wa sahivi ndo watakuja kuwa na msongo mkubwa sana wa mawazo, depression na kujiua
Unataka vya bure? Subiri Sa100 atasababishaAsilimia kubwa sio public space
Kwanini zisiwepo za bureUnataka vya bure? Subiri Sa100 atasababisha