Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Hapana mi nimejiajiri, nilikua naenda zangu kukaa pale pako poa sijaona sehemu yenye hewa safi isio bore kama hapo.Aah kwishaa kama ni kwenye lile sanamu… sa pale kama sio mzaliwa na mtembea tembea wa mitaa ile huwezi kunote km ni open space ile. Maana ni padunchuuu khaaaa 😀😀
Mara sometimes unapita migari ya jeshi imepakiwa pale,.. hapavutii utoke kwako uende kupumzika kule wallah bora uende zako Kipong ujue moja 😝😝
Au uwe unatembea ukae kupumzika tu kwa muda ukila mahindi, au uwe ni mfanyakazi wa ofisi za around hiyo mitaa…
Nenda hata kituo cha polisi chochote kilichokaribu na wewe ,utakayemkuta counter mwambie nimekuja kuwasalimia .
Ni hapo unaweza kupiga nao story mbili tatu hata kuwauliza wanapata muda wa kulala na hali ya uchumi wanaionaje kwa miaka hii ,hakika leo siku yako itakuwa amazing kiasi chake mkuu wangu
OVA
Mkuu umeandika kitu kikubwa sana hapa.Sema miji ya Tanzania hovyo sana
Sasa hivi umekaa zako unataka uende sehemu urefresh akili
Option inayokuja ni kwenda bar zama hizi swala la kutembeleana halipo tena kama miaka ya 2000 mwanzoni na kurudi nyuma
Miji yetu haina open space ambazo kwenye nyakati za weekends kunaweza kukawa na band zinapiga na nyingine inafanyika michezo mbalimbali mfano wa theme park
Tanzania hakuna Night-life kabisa ni either uende bar au Lodge ukafanye michezo ya kikubwa in short hakuna sehemu ya mtu kutoa stress mbaya zaidi watanzania wanaishi kwenye chumba kimoja au viwili au vitatu
Hatuna theme park kwenye miji yetu, hatuna arena kubwa na ndogo kwa ajili ya events mbalimbali
Kwa wale watu hawanywi pombe na waislamu wanapataga wakati mgumu sana
Wakati wa sikuku unakuta watoto wako kwenye daraja la buguruni au manzeshe huwaga nawaonea huruma sana hawana pa kwenda
Mfano dar kuna pori la magwepande lingetengenezwa vizuri watu wawe wanaenda kupoteza stress na kuwe na space ya kuchoma
Hatuna arena kubwa na ndogo kwa ajili ya matamasha mbalimbali kuna miji mingine ikifika weekend kuna mambo mengi sana ya kukuondolea stress
Hawa watoto wa sahivi ndo watakuja kuwa na msongo mkubwa sana wa mawazo, depression na kujiua
Rais atakaa kwao wakati wa likizo tu... Wakati huu acha aielewe nchi 😊Kila mtu akae kwao 😂
Arusha?.. 😂 wapi em nipange mkuuTanga wanayo.. uwa wanakusanyika wanakula zao popcorn
Arusha ina sehemu kadhaa za kutulia ukiondoa bar
Wawekezaji wapo busy kujenga appartments wameona wabongo masuala ya sex wanapenda sana
Mental health is real. Jitahidi uwahi kwa psychiatristMpuuzi wewe. Umechuka hatua gani ulivoona watu wengi wanapitia changamoto.
Taja sehemu tatu tuUnazingua
Nipo Goba huku sehemu za kutuliza akili kibao
1. Mtoa mada anazungumzia sehemu za public ambazo hazina gharama kubwa kwa mwananchi wa kawaida.Maybe huna hela tu mkuu mbona machimbo yapo mengi sana mjini hapa
Jana tu nilikuwa sehemu moja matata sana hapa hapa mjini
Sema budget yako
Unahoja mkuu,Sema miji ya Tanzania hovyo sana
Sasa hivi umekaa zako unataka uende sehemu urefresh akili
Option inayokuja ni kwenda bar zama hizi swala la kutembeleana halipo tena kama miaka ya 2000 mwanzoni na kurudi nyuma
Miji yetu haina open space ambazo kwenye nyakati za weekends kunaweza kukawa na band zinapiga na nyingine inafanyika michezo mbalimbali mfano wa theme park
Tanzania hakuna Night-life kabisa ni either uende bar au Lodge ukafanye michezo ya kikubwa in short hakuna sehemu ya mtu kutoa stress mbaya zaidi watanzania wanaishi kwenye chumba kimoja au viwili au vitatu
Hatuna theme park kwenye miji yetu, hatuna arena kubwa na ndogo kwa ajili ya events mbalimbali
Kwa wale watu hawanywi pombe na waislamu wanapataga wakati mgumu sana
Wakati wa sikuku unakuta watoto wako kwenye daraja la buguruni au manzeshe huwaga nawaonea huruma sana hawana pa kwenda
Mfano dar kuna pori la magwepande lingetengenezwa vizuri watu wawe wanaenda kupoteza stress na kuwe na space ya kuchoma
Hatuna arena kubwa na ndogo kwa ajili ya matamasha mbalimbali kuna miji mingine ikifika weekend kuna mambo mengi sana ya kukuondolea stress
Hawa watoto wa sahivi ndo watakuja kuwa na msongo mkubwa sana wa mawazo, depression na kujiua
Watanzania wengi sana wako gizani na huu mtaji mkubwa sana wa wanasiasa na hili utalijua ukisoma reply zao kwenye uzi na miongoni mwa hawa ndo wanakuja kuwa viongoziKwa sisi tuliowahi kwenda nchi za wenzetu tunamuelewa sana mtoa mada, hapa ni pa ajabu kweli kweli
Watanzania wengi sana wako gizani na huu mtaji mkubwa sana wa wanasiasa na hili utalijua ukisoma reply zao kwenye uzi na miongoni mwa hawa ndo wanakuja kuwa viongozi
1. Mtu hata kusoma kilichoandikwa na mleta mada hawezi.Naona wengi hata hawaelewi maana ya Public space! mtu anamshauri mleta mada aende Bar wakati yeye anaongelea public space,
Public space inakua wazi kwa community yote and state owned,wakati private space ni individua,family or business owned.
''The biggest communication problem is we do not listen to understand,1. Mtu hata kusoma kilichoandikwa na mleta hawezi.
2. Aliesoma nae haelewi mleta mada anamaanisha nini.
Ndio maana unakutana na comments xa ajabu kama LABDA HUNA HELA,NENDA SEHEMU XX NA HELA YAKO UTA RELAX BLAH BLAH BLAH.
Wengi hawajui PARK kwenye mji ni nini. Na wakuu wa wilaya,mikoa ni kama hawa wananchi wasiojua maana ya park.
Guys just Google CENTRAL PARK NY au HYDE PARK LONDON mtaelewa hii mada inahusu nini.
Uhuru park Nairobi. Ya kwetu ni Mnazi Mmoja pale. Kilichofanyika imefungwa sababu haijulikani. Pale Ocean Road Hospital ipo park moja along Samora Avenue. Jioni utaona wanafunzi wa IFM wamekaajuu ya uzio mfupi wa park. Hawawezi kuingia na kukaa garden kwenye viti maalum kwasababu IMEFUNGWA.Kwanini imefungwa hakuna anaejua.
And not just to reply but rather to attack.''The biggest communication problem is we do not listen to understand,
We listen to reply''