Nafikiria sehemu ya kwenda kurelax hakuna

Minaongela public space mfano dsm na mijini mingi Tanzania hakuna public space ndo hizo nazoziongolea na sio private space
Upo sahihi, hasa Dsm ni chache sanaaa, kule nyuma ya Ikulu enzi za Jakaya tulikua tunaenda kupumzika tunatandika mikeka kabisa na vyakula tunakula sijui hali ikoje kipindi hiki lakini barabara hiyo hiyo maeneo ya Ocean Road kuna vimbweta vya kupumzikia huku unatizama bahari
 
Mkuu ulichoeleza hapa ni sahihi. Hili suala binafsi nimekuwa nikiliona ila sikuwahi kushare. Nikaja kuthibitisha baada ya kubahatika kufika kwenye mataifa kadhaa developed. Aisee..., unaweza kukufuru kwa kuzungumza sema tu ni vile huku ndio home inabidi upape heshima kigumu tu.
 
Walioweka open space za public sio wajinga alafu mimi naongelea watanzania walio wengi sijifikirii mimi

Sinaubinafsi kama uliokuwa nao wewe na viongozi wengi wa kiafrika
Zingatia na uhalisia wa Nchi. Usilisahau hilo

Wengi wa Tz tunapenda kupumzika nyumbani.. na kutembelea ndugu na jamaa πŸ˜€
 
Akili za kiduwanzi Sana kmmke, miji mshenzi isiyo na open spaces watu kuweza kukaa na kurelax ,what a shame
 
Pale Impala mchana hapakaliki, jua kali. Utakaaje kwenye vile vimbweta πŸ˜€

Hiyo ya kwa mkuu wa mkoa siijui. Ni upande upi? Wa kuelekea Mt. Meru Hosp, BOT au kurudi huku njia inayoshuka TTCL
Inaaangaliana kabisa na ofisi ya Mkuu wa Mkoa,IPO katikati baina ya hotel ya kibo palace,na jengo/ofisi ya halmashauri . Imezungukwa na maua mengi pamoja na miti
 
1.coco beach
2. Nakupenda Africa
1. Mtoa mada anazungumzia sehemu za public ambazo hazina gharama kubwa kwa mwananchi wa kawaida.
2. Ingekuwa vizuri ukaitaja hiyo sehemu matata uliyokuwepo kwa watu wenye hela zao nao watembele
 
Sehemu mbili tofauti. Juu coco beach(picha ya zamani kabla hata ya barabara mpya), picha ya chini beach ya kule Aga khna Barack Obama avenue.
Gymkhana ndio pametengenezwa hivyo? Ni pote au kuanzia ikulu kwenda tanganyika swimming club?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…