Nafikiria usaliti waliofanyiwa 'Hawa Ghasia na Kessy', hawa watu wawekwe chini ya uangalizi maalum wasije kujidhuru

Mungu Mbariki Lissu, Mungu Ibariki CHADEMA.
Mungu anaibariki sana CDM na pia Lissu japo CDM na Lissu hawakuwa pamoja kwenye uchaguzi 2020. Kwa baraka hizo Mungu aliwapa kile wanachokiweza akawanyima kile walichokitamani japo hawana uwezo nacho.
 
Msijidanganye. Ni mipango maalumu. Hawa wawili watapewa kazi za nguvu. Makubaliano yameshafanyika.
 
Msijidanganye. Ni mipango maalumu. Hawa wawili watapewa kazi za nguvu. Makubaliano yameshafanyika.
Ulikuwepo kwenye hayo makubaliano mbuzi wewe,hamjakoma tu kuzusha ujinga na uongo hadi mmepigwa chini?
 
Tena Kessy alikuwa kiherehere sana, anaweza kufa kwa pressure
Kumbe hamjamjua Magufuli ehe? Hawa atawapa vyeo vingine. Hamkusikia anasema kila siku vyeo vya kugawa viko vingin na watu wanaoachwa wasiwe na wasiwasi! Otherwise iwe ana visasi nao ndiyo atawaacha. nchi imefikia pabaya sana sasa hivi... rais ndiye anaamua nani awe mbunge na wapi... rais ndiye mgawaji mkuu wa fedha za maendeleo.. nk...
 
Ameturudisha nyuma enzi za maisha ya kifalme. Wafalme ndiyo walikuwa na nguvu namna hii aliyo nayo sasa. Hata Nyerere wakati wa chama kimoja alikuwa haingilii matakwa ya wapiga kura kama huyu. Kuna marafiki wengi tu wa Nyerere walikuwa wanagombea ubunge na kuanguka bila yeye kulazimisha wachaguliwe.
 
Watakosa pa kupumulia. Maana walikuwa wanawapa wabunge wa upinzani tips ili wazitushe hewani. Sasa ventilations chembers zote zimeshazibwa watakufa kwa kikosa hewa
 
Rais bado anawabunge wake 10, ushingangae Kessy kuibukia huko pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…