Nafokewa na mchumba

Mchape makofi. Broda we siyo mkurya? Watafute wakushauri.
 
issa kulikoni?mbona umeingia mitini,watu wanataka kukusaidia?maybe wewe ni mgeni humu,ila ukianzisha topic,inaibidi usiondoke
 
Pole bwana mpige chini akufai mwisho wasiku atakupiga mbele ya marafiki.
 
dat has been a big problem in recent relationships esp.....i think xplain to us the reason as to y akufokee,mazingira ambayo anakufokeaga,hata anakuwaktk moods gani had akufokee..nk...ili tujue jinc ya kusolve dat problem...:confused2:
 
pole sana kwa kweli,mimi nadhani cha kufanya yeye akikufokea,wewe u2lie 2,akiona humjibu ataacha
 
usimlee akufokee, ukimruhusu mwanamke akudominate akizoea tabia hiyo ataendelea kukusumbua hivyo hivyo. Lazima awe na heshima
 
He he he sasahv utaanza kudundwa...pole sana ndugu yangu.mweke chini mwambie huo sio ustaarabu lasivyo atambae zake
 
Mwanamke ameeagizwa kumtii mpenzi wake wakati mwanamume ameagizwa kumpenda mpezi wake,haya mawili yakitimizwa wala hutasikia kufokeana katika mahusiano
 
pole kwa kufokewa japokuwa hujawa specific. kama unampenda kaa nae mzungumze ajirekebashe. kwa kuwa tabia ya gubu binafsi huwa sipendi. angalia sana icje ukajuta maisha yako yote kwa kuchagua wrong number. gud day
 
usifanye kile kinachopelekea mpenzi wako akufokeee,jichunguze huwa unakosea nini....otherwise man up kidogo...akikufokea na wewe mkaripie asije kukupanda kichwani:majani7::whistle:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…