mi nangoja hapo kwenye nafsi!
Ume nichekesha sana.hivi ushawahi kuona protini ? je vitamin ?
ila bado unaamini vipo
Kwauwezo wa akili zisizo onekana.Asee uliwezaje kujiunga Jf home of the great thinkers
Akili ni ule ufahamu wa kuweza kupembua zuri na baya, jema na ovu. na kuna milango mikuu 5 ya fahamu, ambayo akili inaweza kutumia katika utendaji wake. kwa mfano kwa kutumia mlango wa fahamu wa ulimi, akili inaweza kutofautisha maelfu ya ladha. ulimi ni kama kiwakilishi tu, coz kama ukiwa umezimia kwa mfano, hata ukipewa kitu uonje hutoweza kupata ladha, why?? kwa sababu ufahamu wako(akili) haifanyi kaz kwa wakati huo. kwa akili ndo fahamu yenyewe inayokuongoza kufanya shughuli. na ulimi, sikio, ngozi, macho na pua hi ni milango ambayo akili inatumia katika utendaji wake. ntaendelea upande wa roho.
Asante sana ila katika hili ninaomba ku uliza , ina kuwaje katika vitabu vyadini tuna ambiwa kwamba roho ndio zitakazo hukumiwa au muda mwingine tuna ambiwa shetani niroho...kama huto jali kuni jibu kama ulivyo nijibu nita endelea kushukurusana.Roho ni ile pumzi tunayopuliziwa na mungu mwenyewe. na hii roho ndo kiunganish pekee kati yetu na mungu. siku hizo pumzi zitakapokata na ndo mwisho wa uhai wako hapa duniani.
BRN....Asee uliwezaje kujiunga Jf home of the great thinkers