Naftali Bennett ataka kinu cha nyuklia na mfumo wa kuzalisha nishati Iran kulipuliwa

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Israel naftal ameishauri Israel kusambaratisha kinu cha kuzalisha nyuklia pamoja na mfumo mzima wa kuzalisha nishati nchini Iran.

Ameongeza kuwa Israel wamepata fursa muhimu sana katika kipindi Cha miaka zaidi ya 50 cha kuweza kubadili sura ya Mashariki ya kati.

==========

Naftali_Bennett_official_portrait.jpg

Former PM of Israel says Israel can change face of MidEast

"Israel now has its greatest opportunity in 50 years to change the face of the Middle East," said Naftali Bennett, former Prime Minister of Israel.

He added that Iran's leadership "made a terrible mistake this evening" and called for immediate action to destroy Iran's nuclear program, central energy facilities, and to "fatally cripple this terrorist regime."

Pia, soma: Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia
 
Wadau hamjamboni nyote?

Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Israel naftal ameishauri Israel kusambaratisha kinu cha kuzalisha nyuklia pamoja na mfumo mzima wa kuzalisha nishati nchini Iran

Ameongeza kuwa Israel wamepata fursa muhimu sana katika kipindi Cha miaka zaidi ya 50 cha kuweza kubadili sura ya Mashariki ya kati

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Hiyo taarifa yako ya hapa chini kwa Kimombo ipo wapi sasa?
 
Hiyo taarifa yako ya hapa chini kwa Kimombo ipo wapi sasa?
Former PM of Israel says Israel can change face of MidEast

"Israel now has its greatest opportunity in 50 years to change the face of the Middle East," said Naftali Bennett, former Prime Minister of Israel.

He added that Iran's leadership "made a terrible mistake this evening" and called for immediate action to destroy Iran's nuclear program, central energy facilities, and to "fatally cripple this terrorist regime."
 
Former PM of Israel says Israel can change face of MidEast

"Israel now has its greatest opportunity in 50 years to change the face of the Middle East," said Naftali Bennett, former Prime Minister of Israel.

He added that Iran's leadership "made a terrible mistake this evening" and called for immediate action to destroy Iran's nuclear program, central energy facilities, and to "fatally cripple this terrorist regime."
Kwahiyo ulikuwa umesahau au? Wengine tunaelewa zaidi Taarifa ikiwa imeandikwa kwa Kimombo (Kiingereza) kuliko kwa Kiswahili.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Israel naftal ameishauri Israel kusambaratisha kinu cha kuzalisha nyuklia pamoja na mfumo mzima wa kuzalisha nishati nchini Iran.

Ameongeza kuwa Israel wamepata fursa muhimu sana katika kipindi Cha miaka zaidi ya 50 cha kuweza kubadili sura ya Mashariki ya kati.

==========

Former PM of Israel says Israel can change face of MidEast

"Israel now has its greatest opportunity in 50 years to change the face of the Middle East," said Naftali Bennett, former Prime Minister of Israel.

He added that Iran's leadership "made a terrible mistake this evening" and called for immediate action to destroy Iran's nuclear program, central energy facilities, and to "fatally cripple this terrorist regime."

Pia, soma: Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia
Alishindwa wakati yupo jikoni!
 
Ukiona hivyo ujue surveillance ya infrastructure na location ya vinu ilishafanyika muda! Namna ya kuvilipua,silaha ya kuvilipua vimeshaandaliwa.
Ni swala la muda!
 
Iran wanahitaji aje mzima mzima, tumeona hakuna mahala Iran anaposhindwa kufika ndani ya Israel, apige hivyo vinu na yeye aone kama vinu vyake vitabaki salama.
This time mmeingia mdomo wa mamba, msije tuu kuanza kuandamana na kuchoma bendera eti death to Israel na kudai maazimio UN ya kumlaani Bibi Netanyahu, na mna bahati Republicans hawana White House ila mwisho wa Ayatollah umefika
 
Iran sio Iraq Wala Libya, na kama unabisha Israel kaufyata. Achague kwenda Lebanon au aende kwa muiran kisha aone kama hicho kimkoa chake hakijafutika hapo middle east.

Yeye aendelee kupambana na hivyo vikundi vya wanamgambo lakini kwa Iran hawezi kabisa. Au apige marufuku ndege yeyote kutua Iran kama anavyofanya kwa Lebanon na Gaza kisha uone kisarani cha muajemi.
 
Yeye vinu vyao vitakuwa salama ? Huyu ni mpumbavu
 
Shida sio kulipua watalipua sawa tatizo litakuja baada ya kulipua umejipangaje kujitetea na dhahama itakayo kufuata nyuma yako? Anything stupid itakula kote keep this
 
This time mmeingia mdomo wa mamba, msije tuu kuanza kuandamana na kuchoma bendera eti death to Israel na kudai maazimio UN ya kumlaani Bibi Netanyahu, na mna bahati Republicans hawana White House ila mwisho wa Ayatollah umefika
Alivyo lipua kambi za USA na alikua madarakani pale Marekani?
Au umeijua hii vita 7.October 2023
 
Sio wayahudi tuu, mabeberu mate yanawadondoka sasa hivi, watachimbua ile milima walipoficha zile nuclear program nje ndani mpaka wageuze kifusi, this time Ayatollah lazima arudishwe stone age , Tehran lazima igeuke Dubai au Kuwait
Punzuza jazba kugongwa kidogo tu huyo ndio Ayatollah a.k.a Piddy
 
Back
Top Bottom