Nafuatilia Bongo Star Search mwaka huu Top Six washiriki wanaimba wamepoa sana hakuna amsha amsha

Nafuatilia Bongo Star Search mwaka huu Top Six washiriki wanaimba wamepoa sana hakuna amsha amsha

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Naona vipaji vya kawaida sana na hawazitendei hali nyimbo wanazoimba.

Kuna wimbo aneimba Allan nipeni dili,uliwahi kuimbwa na mshiriki mmoja binti alikiwasha sana na ninakiri mimi ndipo nilianza kuupenda wimbo huo.

Vijana wenye vipaji siku hizi hampo?
 
Asaivi imekuwa biashara hapo Amna vipaji vya ushindani kama zamani hapo zinapigwa pesa za wadhamini tu
 
Back
Top Bottom