MR KUO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 2,678
- 3,818
Wakuu. Najitolea kufundisha lugha ya alama kwa matumizi mbali mbali especially mawasiliano yawe ya wazi au siri, lugha ninayolenga kufundisha ni ile ya kutumia body language na sign language. Njoo ujifunze ushara mbali mbali, alfabet kwa kukunja kunja vidole nk. Ofisi yangu na kituo cha kutolea mafunzo kipo dar mabibo mwisho.Huduma ni bure kabisa kila alhamis na jumamosi.
Nipigie: 0788654489.
Nipigie: 0788654489.